Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Eid Mubarak watanzania wote. Wapinzani wa Simba kwenye mchezo wa robo fainali ya kombe la shirikisho Afrika, Al Masry wameshinda mchezo mmoja tu, huku wakifungwa mechi moja na kudroo mechi tatu...
2 Reactions
17 Replies
854 Views
Wakuu..... Katika pita pita zangu Leo kufuatilia harufu ya pilau mitaani Leo nimekutana na wazee wakibishana kuhusu ubora, ushindan Kati ya ligi la championship ya bongo na kombe la shirikisho...
2 Reactions
24 Replies
805 Views
Klabu ya Zamalek ya Nchini Misri imepinga uamuzi wa Chama cha vilabu Nchini humo kuhusu kutenguliwa kwa adhabu dhidi ya Al Ahly ikiitaja hatua hiyo kuwa ni kama udhalimu kwenye mpira. Haya...
1 Reactions
5 Replies
660 Views
Inadaiwa kuwa benchi la ufundi la Singida Black Stars halijalipwa mshahara kwa miezi miwili hadi sasa. Taarifa zinaeleza kuwa uongozi wa timu hiyo umetoa kipaumbele kwa mishahara ya wachezaji...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga, Baada ya kuwaza Kwa kina nimebadili msimamo, naomba viongozi wa Yanga wawaze upya na kukubali derby kupigwa upya Kwamba Simba iliyokuwa na mabasi 3...
4 Reactions
91 Replies
3K Views
Kwa mfano mechi ya Simba na Yanga isichezwe tena. Kati ya Simba na Yanga, mbele ya safari Yanga ndiyo itatamani hiyo mechi ichezwe tena hata bila ya mashabiki uwanjani. Kwenye mechi 7 zilizobakia...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Eng Hersi na bodi ya timu yetu ni viongozi makini na nawaheshimu sana Kituko cha Leo Simba kususia mechi, Naona kanuni ziko wazi na zipo upande wa Yanga Kwa vyoyote vile mechi haikupaswa...
11 Reactions
71 Replies
3K Views
Habari zenu, Tumekuwa tukijadiliana sana kuhusu mchezo wa mpira na tumesahau kuwa binadamu ili uwe na afya njema yakupasa kufanya mazoezi kila siku bila kuchoka. Sasa nimeona nilete huu uzi kwa...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Hapa nadhani mnaona jinsi hizi timu zinavyotumia ushawishi wao unaoungwa mkono na wanasiana. Mzizi wa fitna ilikuwa siku ile ile Simba wamelalamika,hatua zichukuliwe. Hakuna mtu mwenye nguvu...
3 Reactions
6 Replies
320 Views
Police use teargas to disperse fans who were trying to force their way into Nyayo stadium for the #MashemejiDerby between Gor Mahia and AFC Leopards. ================= Leopards, Gor fire blanks...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mchezaji asiyechukiwa, aliyepita vilabu kama Leicester City, Chelsea, na sasa anakipiga uarabuni Ngolo Kante amefunga ndoa baada ya kuachana na mwanamke wake wa awali. Ndoa ya Ngolo Kante ni ndoa...
17 Reactions
61 Replies
4K Views
Nenda kawaulize waganda wenye miaka kuanzia 45 kuja mbele. Wanamfahamu vizuri sana. Jamaa alikuwa na kipaji. Wakati tu haukuwa sahihi. Yanga miaka hiyo Yanga kweli kweli... Tuna wachezaji...
6 Reactions
80 Replies
4K Views
Mechi ya Tabora United vs Young Africans iliyokuwa ichezwe tarehe 1 April 2025, Sasa itachezwa tarehe 2 April Bodi ya ligi wamewapa taarifa timu zote kutokana na kanuni kuwaruhusu kuhairishwa...
0 Reactions
45 Replies
2K Views
Sote tumeshuhudia timu zetu zikiwa na mambo mengi ya kushirikina na kufikia mahali kupoteza ladha ya mpira hususan kwa watu wasiopenda mambo ya kishirikina. Kusema kweli kanuni zilizopo ni laini...
0 Reactions
12 Replies
367 Views
Bado ni mapema sana kwa pande zote mbili kufanya maamuzi. Timu zote mbili za Simba na Yanga zimefanya usajili mzuri na zina vikosi vya kiushindani kwa mashindano ya ndani na nje. Tuna nafasi ya...
2 Reactions
16 Replies
985 Views
Mwakilishi wa Aziz K akiwa kwenye kikao kizito na kocha wa Wydad Rulani Mokwena pamoja na rais wa klab hiyo, wakimalizia mazungumzo ya mwisho kabisa ya aziz k kujiunga na miamba hao Ikumbukwe...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoa ruhusa kwa uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, kutumika kwa michezo ya robo fainali na nusu fainali za Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) na...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nna uhakika Simba akimaliza nafasi ya kwanza kileleni na Yanga akashika nafasi ya pili, je mechi ya mwisho mtakayopangiwa na Bodi ya Ligi ili mcheze na Simba mkishinda mnabeba kombe, mtakaa kwenda...
2 Reactions
7 Replies
701 Views
Kwa maoni yangu huyu ni mtu hatari sana kutokana na kuonesha ushabiki na upande katika sakata la derby. Licha ya vitendo vyake kusababisha kuchochea mgogoro huu,bado namuona ni mtu asiyefaa kuwa...
1 Reactions
9 Replies
712 Views
Ukweli useme Bodi ya ligi wameshindwa usimamizi wa ubora wa viwanja Kwanini bodi ya ligi iliufungilia huu uwanja mbovu hivi? Ligi namba 6 Africa haiwezi kuchezwa kwenye majaruba, kuruhusu...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Back
Top Bottom