Leo kulikuwa na kikao pale Benjamin Mkapa, walianza kuitwa viongozi wa Yanga wakaongea yao na baadae wakaitwa Simba wakaongea yao, wote waliitwa kwa nyakati tofauti.
Naipongeza sana serikali kwa...
Rais wa Shirikisho la soka Tanzania TFF Wallace Karia baada ya kumaliza kikao na Waziri wa Michezo Prof Paramagamba Kabudi kuhusiana na sakata la derby ya Kariakoo hakuongea na waandishi zaidi ya...
Najua bado mnaumia kwa wale wachezaji wenu kushirikiana nasi. Manula ni binadamu msimpe adhabu kubwa hivi.
Ni tamaa tu ambazo binadamu wanakuwa nazo lakini msiue kipaji chake cha mpira please.
Wa TZ pamoja na vyombo vyao vya habari wametumia sasa wiki zaidi ya tatu kujadili na kuchambua issue za derby. Hao Hao wa TZ Hawajui nini kinaendelea kwenye uchumi wa Taifa lao. Kwa jinsi wa TZ...
Nimesikitishwa sana na matokeo Mimi kama mzalendo wa michezo nchini
Haya ndio mambo niliyoyaona Kwa viwango vya wachezaji wa Simba ....hawastahili kuitwa Tena
Kibu denisi
Mwamba Jana alikuwa...
Viongozi wa Klabu ya Yanga SC wamehitimisha kikao chao na serikali kilichofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, ambapo walijadili masuala muhimu kuhusu hatma ya dabi ya Kariakoo...
Huyu dogo alikuwa na kipaji sana. Sana walimwita Messi. Ramadhani Singano. Alipotelea wapi? Anafanya nini kwa sasa?
Kizazi chake katika soka ni akina Mohammed Hussen kama sijakosea. Hawa...
Hakuna unachoweza kusema isipokuwa kuwapongeza Simba pamoja na figisu,uchawi na roho mbaya za nyuma mwiko bado ndio wawakilishi pekee kimataifa hadi sasa.
Huu ni ushahidi tosha kuwa timu hii ipo...
Mpira ni kama dini.Kuna mashabiki wana imani kali na timu zao.Wengine wamekufa kwa sababu za kufungwa timu zao.
Mashabiki wanatawaliwa na hisia sana.
Kuna kiongozi wa club moja anajaribu kuitumia...
Hakuna kuendelea kudanganyana any more. Match itarudiwa na tutaenda uwanjani. Hii wala haihitaji elimu ya sekondary
Mikia.wamenyamaza sababu wanajua mambo yanavyoenda wapo very calculated. Hata...
Wadau nmeikuta tena hii sehemu. Ina maana Hersi anashindwa kupenetrate kule ndani kuipandisha Yanga? Yaani Simba wapo Shirikisho. Bado wanapigiwa promo na kukuzwa kila sehemu? Why? Kwa nini?
Tuko tayari kumvumilia Yanga ishushwa daraja kwa kanuni kuliko kuvumilia kurudia mechi kwakutumia busara. Hali hii mwisho wake lini? Kama ikithibitika kama Yanga imewazuia simba kuingia uwanjani...
Leo Alhamisi inapigwa mechi ya CRDB Bank Federation Cup hatua ya 16 bora Simba SC VS Big Man FC
Saa 10:00 Jioni | 🔴 LIVE updates hapa
Vikosi vya timu zote
Mechi imeanza
1' Simba SC 0-0 Big...
Busara gani? siasa gani? serikali ya nini?
TFF mmeshindwa kutafsiri kanuni za mpira mnaingiza serikali? mnaona na mnajua kabisa mkifuata sheria na kanuni za mpira moja kati hizo timu mbili...
Hili ni somo kwa mashabiki. Muwe na akiba ya maneno kuunga mkono kila kitu.
Hivi kweli viongozi wenu wanaweza kukaza mpaka mwisho? Kama sio kuja kula matapishi yenu ni nini?
Hao viongozi sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.