Bodi ya ligi lazima ijiuzulu kwasababu zifuatazo.
1. Ndani yao alikosekana mtu wa kunusa hatari za kijamii, kimpira, kiuchumi, na za kiusalama zitakazoambatana na kuahirisha mchezo ule. Kiongozi...
Nadhani ni wakati sasa vyombo vinavyosimamia soka nchini kuomba msaada kutoka FIFA ili mechi za hii timu zichunguzwe.
Tunatamani soka lichezwe kwa kufauata sheria na kanuni za soka.Haitakuwa sawa...
Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imepokea rasmi rufaa iliyowasilishwa na Klabu ya Young Africans SC dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) na...
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Tabora United Christina Mwagala amempa saa 24 Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe awe amemuomba radhi Mlezi wa Timu ya Warina asali wa Tabora...
Tunaheshimu mamlaka za uteuzi wa mkuu wa mkoa Tabora
Tunatambua upo Tabora kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Leo umeongea kauli za ovyo na uropokaji ambao ni kutweza na...
Kuelekea mechi ya Tabora vs Yanga. Kuna sauti zimenaswa haijulikani ni nani hasa akimkoromea mtu anayetajwa kama Dida kutoka Tabora UTD, kwamba asihujumu Yanga mechi ya kesho la sivyo maisha yake...
Leo michezo ya robo fainali kwa Caf Champions League inaanza.
Robo fainali ya kwanza imeshaanza
Mamelodi Sundowns Vs Esperence katika dimba la Loftus Versfeld
Karibu twende live🔴...
Klabu ya Bayern Munich inadaiwa kuwa inajianda kusitisha mpango wa mazungumzo ya mkataba mpya na mshambuliaji wao mkongwe, Thomas Muller kutokana na kukosa nafasi ya kucheza katika kikosi cha...
Mitandaoni na kwenye media mechi kubwa ni Tabora United vs Young Africans ambayo itafanyika tarehe 2 April uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA, mechi ya UMISETA au shirikisho Watanzania hawana...
Mchezo wa derby kurudiwa haimaanishi ndiyo haki inayotakiwa au ndiyo suluhisho kwa pande zote zinazohusika. Kanuni na taratibu ndizo zinapaswa kuamua mchezo urudiwe au la. Kama timu moja ilivunja...
Ukweli usemwe mpira Wetu Huu bado ni ungaunga mwana hata kama huna Kiwango (Kiwango kimeisha) Lakini ukiwajulia tu Viongozi basi unakula vizuri klabuni kwa Mshahara mnono na Kiwango huna...
Kikosi cha Simba Sc kitamenyana na Al Masry katika Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kesho saa 1 Jioni nchini Misri katika dimba la New Suez.
Mechi hiyo ikiwa ni mechi ya kwanza ugenini nchini...
Nawashauri, kinachofanyika leo ni kufurahisha majini yao ili keshi yakafanye kazi uwanjani, leo watachinja ng'ombe ili wakawape damu majini yao ambayo yanafurahi sana yakipewa damu, msipokabiliana...
IKIWA Juni 3, 2023 inatarajiwa kuchezwa mechi ya mkondo wa pili wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, wawakilishi wa Tanzania, Yanga SC wana kazi moja kubwa ya kuweka historia na kuvunja...
Wanasema "hauna haki ya kuongea kama kwanza haujafanya utafiti wa hilo unaloongelea".
Taasisi ya R.S.S.S.F. (Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation) ni taasisi kubwa duniani ambayo imekuwa...
Baadhi ya majina hayo ni kama
1. Sokratis Papastathopoulos
(Greece)
2. Jakub Błaszczykowski:
(Poland)
3. Grzegorz Krychowiak:
(Poland)
4. Wojciech Szczęsny:
(Poland)
5. Yevhen Olehovych...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.