Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

"Hata hivyo, wazee itabidi twitane haraka sana. Unajua, tutatoa siku mbili au tatu kwa vijana. Kila yule anayejijua kwamba yeye alikwenda pale na akaacha kinyesi, aende akatoe kinyesi hicho. Na...
1 Reactions
9 Replies
234 Views
Kifuatacho utatia aibu heshima ulizojitengezea kwa miaka mingi zitakuwa hazina maana Labda kama unataka kujitengezea na historia za hovyo na moja ya historia mbovu ni cra7 azimia uwanjani...
0 Reactions
6 Replies
130 Views
Chanzo cha kuaminika kimenipa taarifa kuhusu uongozi wa SBS kuchukizwa na kauli za Msemaji Simba Ahmed Ally kwa Mmiliki wa AZAM FC Mzee Jamal baada ya Mzee kudai TFF haiwatendei Haki. Chanzo...
2 Reactions
7 Replies
469 Views
Nina maswali kwa mashabiki wa kombe la dunia na mpira wa miguu kwa ujumla, leo ninaenda kuangalia mpira wa miguu nje ya nyumbani kwangu kwa mara ya kwanza; Vitu gani ambavyo sisi tunaokuja...
7 Reactions
109 Replies
1K Views
Baada ya mechi kati ya Simba na Azam, mengi yameibuka..kubwa zaidi likimuibua mmiliki wa Azam na kutoa ya moyoni hasa kuhusu marefa, na kupelekea kusema ataiondoa Azam Bara na kuipeleka Zanzibar...
8 Reactions
45 Replies
936 Views
Leo ni fire tu! Bonge moja ya mechi CR7 anakumbukumbu nzuri alicheza na Spain alifunga magoli 3 katika mechi nzito sana kuwahi kutokea world cup 2018 kule Urusi ##### Majirani Ureno na Hispania...
3 Reactions
68 Replies
1K Views
Kwa kilicho tokea jana usiku ilikuwa kama presha inapanda inashuka.. Mimi kama shabiki aalitaka kuniuwa live hawa washenzi. Ibaki tu kusema mechi zote zijazo Sita invest hisia za aina yoyote...
3 Reactions
17 Replies
272 Views
Katika hali ya kushangaza, Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limempa ruhusa mshambuliaji Folarin Balogun kucheza mechi dhidi ya Ubelgiji. Licha ya kadi nyekundu aliyopewa awali, FIFA...
6 Reactions
40 Replies
871 Views
Neymar anastaafu soka la kimataifa akiwa na umri mdogo sana, sijui shida Nini, hapo ndo napo mheshimu sana ronaldo
6 Reactions
36 Replies
518 Views
Tunzeni post hii, Yanga wanadai kwanini tarehe ya mwanzo Simba waliamua tuu kua hawachezi na bodi ya ligi wakawaunga mkono bila sababu ya msingi? Yani inaonekana kama Simba yeye ndio anapanga...
10 Reactions
62 Replies
3K Views
Hi ladies & Gentlemen, Welcome to Brazil National Football Team special thread. Tuendelee kupeana updates mbalimbali kuhusiana na Timu ya Taifa ya Brazil. Nime attach full squad itakayoenda...
3 Reactions
58 Replies
4K Views
Baada ya kuwa timu ya kwanza kabisa kuifunga Ujerumani kwa mikwaju ya penalti katika historia ya Kombe la Dunia, sasa Paraguay inakabiliwa na nafasi ya kutinga robo fainali ikiwa itaweza kuwaondoa...
2 Reactions
4 Replies
220 Views
Ukiangalia ligi ya Tanzania kuna vituko sana na moja ya kituko ni mtu anakuambia simba ni timu bora na imeonewa na marefa ndo sababu ya kutokuchukua kombe ebu tuangalie takwimu zifuatazo Timu...
3 Reactions
1 Replies
153 Views
Klabu ya Singida Black Stars imewasilisha rasmi malalamiko kwa mamlaka za soka nchini, ikiwemo Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), baada ya kutoridhishwa na mwenendo wa mchezo wao dhidi ya Simba SC...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakati Parade la Simba likiendelea kuelekea Jangwani watani wao Yanga wamemwaga Vifusi vingi kuzuia Parade hilo lisiingie kwenye eneo lao. Pia wamepaki Mabasi yao kuhakikisha Simba IRIZAR yao...
1 Reactions
9 Replies
424 Views
Aliyekuwa kocha wa zamani wa Simba Pablo Martin anaweza kubeba ubingwa wa Botola ligi kama inavyojulikana ligi ya Morocco baada ya kuongoza kwa pointi 56 na wapinzani wake wa karibu RS Berkane na...
0 Reactions
5 Replies
191 Views
Mabingwa mara tano wa Kombe la Dunia, Brazil national football team, watakutana na Norway national football team katika hatua ya 16 bora mjini New Jersey, huku Brazil wakipewa nafasi kubwa ya...
3 Reactions
50 Replies
979 Views
1st time kifurushi kimekata na mtandao umegoma nikaona siombaya kua mzalendo ila sasa tayar macho yanauma
2 Reactions
6 Replies
147 Views
Mpaka sasa katika Kombe la Dunia 2026, mbio za Kiatu cha Dhahabu (Golden Boot) zinaongozwa na wachezaji hawa: Kylian Mbappé (Ufaransa) – mabao 7. Lionel Messi (Argentina) – mabao 7. Erling...
0 Reactions
2 Replies
246 Views
Kumbe ndiyomaana Chama kashindwa akapanda bodaboda.
0 Reactions
7 Replies
239 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…