Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wazee wa drama na senema zamani walikuwa wanagawana supu Kila baada ya mechi wakishinda. Siku hizi mbona kimya? Kuna jamaa humu anajiita Labani og na Mwenzake ngara23 walikuwa wanakwenda na...
1 Reactions
15 Replies
709 Views
habari ndugu zangu...!? ninachoshukuru nimejiandaa kwa lolote yani usipojiandaa hili tukio linaweza kukusumbua zaidi ya hata mwezi hivyo nimejipanga kuhakikisha sisumbuliwi anyway...! good...
0 Reactions
2 Replies
287 Views
Shirikisho la kandanda duniani FIFA linasema hatua ya muamuzi kutoa kona kwa timu ya upinzani endapo mlinda lango ataushikilia mpira kwa zaidi ya sekunde nane, itasaidia kupunguza suala la...
2 Reactions
7 Replies
698 Views
Ewe Mwenyezi Mungu, Muumba Mbingu na Ardhi, ulisema ombeni mtapewa, nami nasimama mbele yako hapa uwanjani kwa Mkapa mvua ikiwa inanyesha, nakuomba allah jalali, mungu wa viumbe wote duniani...
0 Reactions
0 Replies
237 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amelipa thamani goli la Mama analolitoa kwa timu za Tanzania zinazoshiriki michuano ya CAF ambapo kwa sasa Nchi yetu...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Majaliwa akisoma bajeti yake aitakia heri Simba SC dhidi ya Al Masry
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Tangu Mikel Arteta achukue nafasi ya ukocha Arsenal mwezi Desemba 2019,Safari imekuwa na hisia Kali kwa mashabiki na wapenda soka kwa ujumla.Kwa upande wa mashabiki wamelazimika kuendana na...
0 Reactions
4 Replies
554 Views
Yaani jinsi ilivyokuwa inaliponda halafu eti leo hii ndio wanalipambania kwa nguvu zote hadi kutumia ulozi na uchawi.
2 Reactions
9 Replies
615 Views
Wanajamvi, ikumbukwe hapo jana kuna clip ilikuwa inatembea kwenye mitandao ya kijamii ilionyesha wazee wa klabu ya Simba wakilalama kutokuwa na imani na meneja wa uwanja. Wakimtaka akae pembeni...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Rastaman Denis Kibu, Mwanangu nakukubali sana na mimi ni mmoja wa watu ambao nimekuwa nakutetea sana mitandaoni na hata mtaani. Ebwana mwanangu nakubali sana uwezo wako wa upambanaji na nguvu...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Kama unajua Sport live-streaming site Pls tuwekee link hapa tafadhali!
2 Reactions
11 Replies
10K Views
Mechi zote tatu zimeanza mida ya saa nne. 1.Al Hilaly Omdurman Vs Al AHLY 2.As far Rabat Vs Pyramids 3.Esperance Vs Mamelodi Sundown's Karibuni
0 Reactions
46 Replies
2K Views
Week-end hii ndipo mizunguko ya michezo ya CAF inakamilika. Kutakuwa ni michezo 16 lakini ya muhimu kufutaila ni hii hapa chini kwa vile mingine itakuwa ni ya kumailisha ratiba tu. CAF-CL Yanga...
4 Reactions
7 Replies
726 Views
Tunapoongelea rekodi mbalimbali ambazo Simba inaziweka, zipo nyingi na zinatokea kila siku hadi zingine tunazisahau au hatuzichukulii kwa uzito unaostahili. Msimu huu iwapo itafika fainali ya...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa namna mabeki wa Al MAsry wanavyocheza na kwa aina ya uchezaji wa Elia Mpanzu Kibisawala na pacha wake KIbbu Dennis, hakyamungu waarabu kesho kazi ipo. Na kama hakutakuwa na figisu kutoka kwa...
1 Reactions
5 Replies
669 Views
Leo katika timu zinazopambana kesho kati ya Simba na hao waarabu wanajiitaje sijui Sasa wakati wanakuja wakakataa kupita mlango official ambao kila mtu anatakiwa kupita Wao wakaenda kupita mlango...
0 Reactions
9 Replies
783 Views
“Kuna watu hawataki tuendelee hivyo wanawatumia baadhi ya watu wetu wa ndani. Wanasimba wote njoeni uwanjani, na jamaa pia njoeni muone, hata wakitaka wavae misuli njoeni kushangilia timu yetu...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
Leo mechi ni nyingi. Za majuu uefa champions league na Africa champions league. Wapi pa kuangalia mechi kama nne Kwa pamoja hapa DAR? Bar au pub au kibanda umiza? Asante.
2 Reactions
5 Replies
571 Views
Joseph Lazaro, beki wa zamani wa kushoto wa Coastal Union akiwa msaidizi wa marehemu Douglas Mhani enzi zile za marehemu Hamis Makene, benchi akiwa Mohamed Mwameja, kulia Saidi Kolongo, kushoto...
0 Reactions
4 Replies
633 Views
Back
Top Bottom