ROBINHO KUKIMBILIA BARCELONA,vipi anamkimbia tevez? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ROBINHO KUKIMBILIA BARCELONA,vipi anamkimbia tevez?

Discussion in 'Sports' started by Teamo, Oct 16, 2009.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
 2. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,280
  Likes Received: 4,286
  Trophy Points: 280
  Huyu dogo kelele nyingi mno akienda Barca atacheza namba ya nani?
   
 3. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #3
  Oct 16, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Kwa ufupi nadhani shughuli Man City nd'o kwishneiii na anatafuta pa
  kujikinga.Nd'o hali ya soka hio!
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  nadhani wao wameona ndiye mtu mzuri wa kumcover henry
   
 5. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2009
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  henry c kashaisha nadhani atachukua nafasi yake.....Tecez mwenyewe kama mchovmchov vile, ila honestly Bellemy kani impress sana mwanzo wa msimu huu
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  specifically,
  robinho anaenda kumreplace ''an ageing henry''
   
 7. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2009
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  utakua ununuzi mzuri kwa barca, naona barca wana chemistry nzuri kwenye team yao kuliko Real
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hata hivyo huu ni mwaka wa chelsea
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  LIVAPULI bwana mkuu.
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hehehehe!
  shemasi livapuli kama hujawasoma vizuri ni kwamba hawana bahati.huwanacheza weeeeeeeeeeeeeee finally wanafungwa fungwa,lol!

  washabiki wa liva woote wanaishi kwa straight,ndio maana hata ile blogu nyingine mimi huwa siitembelei sababu mmiliki aliweka wazi kwamba yeye ni mzee waBWAWA-LA-MAINI
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  Mpwa si siri, bwawa la maini linanitia presha mwaka huu.
   
 12. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Robinho anataka vikombe, Man City ndio kwanza wanaangaika kutaka kuingia kwenye top four. Kwa hiyo hapo Man City hapamfai bora angejiendeaga Chelsea.
   
 13. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ndo angechukua namba ya nani pale mbona mbele pamekamilika mkuu.
   
 14. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Msimu uliopita wakati Chelsea wanamtaka alikuwa anakwenda kuchukua number ya nani?
   
 15. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2009
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  mkuu msimu bado liverpool mwakajana siunakumbuka, na barca pia siunakumbuka alipotokea..mpaka march ndo tutajua msimu wa nani...mbio bado ndefu kwa uzoefu wa mpira nilionao
   
Loading...