Yanga wamelewa sifa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yanga wamelewa sifa?

Discussion in 'Sports' started by Kyachakiche, Jun 3, 2009.

 1. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Tangu timu ya Yanga walipochukua ubingwa wa Tz bara kwa mara ya pili mfulilizo, tumekuwa tunashuhudia ama kusikia kauli mbalimbali kutoka kwa viongozi wake. Kwa mfano M/Kiti wake Ndg Madega alisikika akisema kuwa huenda ligi inayokuja ikachezwa kwenye uwanja wao wa Kaunda na kwamba wao ni viongozi makini ambao hawakurupuki kwani ni timu kubwa. Tumemsikia pia coach wao Condic akisema hamwitaji Juma Kaseja kwani hakuwa msaada sana kwa timu hivyo anamfungulia mlango wa kutokea. Wachezaji wengine mahiri kama Nsajigwa,Ambani, Owino, Sunguti, Cannavaro,nk, wako mguu nje mguu ndani. Kwenye usajili unaoendelea hatusikii saana mikakati yao kama zilivyo timu nyingine huku wakiwa ndio wawakilishi wetu wa ligi mabingwa wa Africa hapo mwakani. Mimi nawauliza wanaJF wenzangu, Je, huku si kulewa sifa ya kuchukua ubingwa wa Tz mwaka huu wakiwa na mechi kadhaa mkononi na kudhani kwamba wao ni wao tu hata huko tuendako?
   
 2. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mgema akisifiwa , Tembo hulitia maji.
  Wamelala fofofo.
   
 3. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Au Mfadhili Bado Hajakata Pochi??
   
 4. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Ni kweli mkuu, labda methali ibadilike isomeke" kimya kingi....".
   
 5. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Nafikiri anatafakari fidia ya Shilingi moja kutoka kwa Mengi, na kwamba akikata pochi kwa sasa atakuwa anapalilia upapa.
   
 6. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Tff wameshasema kuwa mwaka huu yanga hawatasajili maana hawawezi kuacha mchezaji muda umeshapita....wajua kuna wajuanji wanjinga sana pale kuanzia madega na wenzake...walitaka simba waanze ili wasije wakawapa mwanya simba kuiba kina ambani jamani mchezaji yule mwaka huu si wenu tenaa wenzetu wanakuja tafuta channel duu sio waje wazeekee hapa tz...ehh waacheni waende zao
   
 7. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Mkuu tuko pamoja kwenye hili!
   
 8. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Wadau si kwamba nawarejesha nyuma. Nilikuwa napitia baadhi ya mabandiko ya zama kidogo nikaja kukutana na utabiri huu. Je, ni kweli mawazo yaliyokuwa kwenye hii mada yanaweza kuwa ya kweli?
   
Loading...