Sporting great Muhammad Ali brought Manchester to a standstill on Wednesday as he arrived to thousands of fans greeting him on a jaunt to Ricky Hatton's gym in Hyde.
The 67-year-old heavyweight...
A Muslim leader in Italy criticised Internazionale coach Jose Mourinho for comments the Portuguese made about Ramadan at the weekend.
Muslims around the world are fasting during the Islamic holy...
Dear ITV,
Tunawaomba mwaka huu murushe michuano ya UEFA CHAMPION LEAGUE MAANA NYINYI NI UHAKIKA ZAIDI kwa sababu CHANEL TEN WANATUBOA SANA, HAWAKO SERIOUS NA KAZI ZAO. WEWE UTAONYESHA MPIRA LIVE...
Sudan lose 17 players over age Finny Muyeshi, Khartoum
Cecafa has sent packing 17 Sudan players after they were found ineligible to feature in the ongoing regional under-17 tournament in Sudan...
Kuna tetesi kuwa Ivo Mapunda amefukuzwa na St. Georges kimya kimya na kwamba Mkuu Ivo keshatua Dar kimya kimya,
Wakulu tupeni Khabari ya Nambari one wetu na nini anataka kufanya...
Kama kawa washika bunduki aka Watoto, wamewandamiza wazee wa Celtic 2 o'clock.
Goli la kwanza likifungwa kwa kiuno na Gallas.
Mbwembwe hizi sasa vijana zimezidi,angalieni wasije waloga bureee...
Kwanza nawapongeza sana Viongozi wa SIMBA kwa kufanikisha Tamasha lao lilofanyika tarehe 8 mwezi wa 8 mwaka huu katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar Es Salaam, ila nimeshangazwa sana na watu...
Usain Bolt of Jamaica crosses the line to win the gold medal in the men's 100 Metres Final during day two of the 12th IAAF World Athletics Championships at the Olympic Stadium in Berlin, Germany...
Katika ulimwengu wa sasa soka limekuwa ni biashara nzuri na yenye kuvutia uwekezaji kwa kiasi kikubwa tu. Klabu nyingi duniani zinajizatiti katika kuweka mifumo mizuri tu ya pesa, uongozi bora...
Katika ulimwengu wa sasa soka limekuwa ni biashara nzuri na yenye kuvutia uwekezaji kwa kiasi kikubwa tu. Klabu nyingi duniani zinajizatiti katika kuweka mifumo mizuri tu ya pesa, uongozi bora...
The long wait is finally over for supporters as the Premier League returns for what promises to be an enthralling 2009/10 campaign.
Old rivalries will continue, fresh challengers have the...
TIMU ya soka ya Azam FC kutoka jijini Dar es Salam iliopo visiwani humu kwa ajili mazoezi yake ya mwisho imeangwa rasmi na vijana wa timu ya Zanzibar Heroes kwa kuchapwa bao 1-0 bila ya huruma...
Wadau wa soka hivi ni lazima jezi ya timu ya taifa iwe na mirangi yote ya bendera? Mchanganyiko wa rangi kwa kweli hauleti mvuto uwanjani...rangi ni "dull". Hawa wadhamini na disigners wa mijezi...
Na Sosthenes Nyoni
KOCHA wa Yanga Dusan Kondic amesema atakuwa tayari kujiudhuru kuifundisha timu hiyo endapo itashindwa kufuzu kwenye michuano ya Afrika mwakani.
Akizungumza na Mwananchi...
Amfuata mwanachama jukwaani
na Wilbert Molandi
KATIBU Mkuu wa Simba, Mwina Kaduguda ‘Simba wa Yuda' , jana alishindwa kudhibiti hasira hadi kumchapa ngumi mwanachama mwenzake, Kessy...