Mashindano ya Kimataifa ya Bao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashindano ya Kimataifa ya Bao

Discussion in 'Sports' started by Saleh, Jun 18, 2009.

 1. S

  Saleh New Member

  #1
  Jun 18, 2009
  Joined: Jun 20, 2007
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KIBA kina mpango wa kufanya mashindano ya kimataifa ya Bao tarehe 21-22/11/2009, mjini Torino, Italia.

  Wachezaji wa Bao wanatakiwa sana kushiriki.
   
 2. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  SALEH,
  Mzee Rashid Mfaume Kawawa ni mtaalamu mzuri wa Bao.
  Atashiriki mashindano haya?
   
 3. S

  Saleh New Member

  #3
  Aug 27, 2009
  Joined: Jun 20, 2007
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Exaud, unisamehe! Kwa bahati mbaya ninaishi ng'ambo, kwa hiyo sina habari za Mzee Rashid Mfaume Kawawa. Tunatarajia watashiriki wachezaji wanne kutoka Uholanzi, watano kutoka Kazakistani, wawili kutoka Ujerumani na wengi kutoka Italia. Lakini wote bado ni wanafunzi. Wengine wamejifunza kwa msaada wa tovuti: www.swahili.it/bao.
   
Loading...