Jezi ya timu ya taifa stars!

Orkesumet

Member
Jan 11, 2008
76
3
taifastars.jpg

Wadau wa soka hivi ni lazima jezi ya timu ya taifa iwe na mirangi yote ya bendera? Mchanganyiko wa rangi kwa kweli hauleti mvuto uwanjani...rangi ni "dull". Hawa wadhamini na disigners wa mijezi hawajaliona hili?
 
Hili swala nilishalisemea kwenye thread za nyuma, nikajibiwa sijui jezi za Ureno na Inter mbona nazo mbaya. Lakini bado nasapoti kuwa jezi za Tanganyika stars oopphs Taifa stars in mbovu, mirangi yooooote ya bendera imejaa. Waige Uholanzi, German, nk wanazo rangi nyingi lakini hutumia hardly only 2 colours.
 
kweli wakuu hizi rangi hazina mvuto kabisa, inabidi hao wahusika waliangalie upya hili
 
My suggestion is they should use black and green or black and blue.
Kaptula nyeusi na t-shirt ziwe kijana au blue.
 
Rangi ya blue/kijani zinapendeza, wanaweza pia kutumia rangi nyeupe. Fikiria kama bendera ya USA ingekuwa ni ya TZ, wachezaji wote wangekuwa na nyota za kutosha tu, rangi ya blue, nyekundu etc!
 
Hili swala nilishalisemea kwenye thread za nyuma, nikajibiwa sijui jezi za Ureno na Inter mbona nazo mbaya. Lakini bado nasapoti kuwa jezi za Tanganyika stars oopphs Taifa stars in mbovu, mirangi yooooote ya bendera imejaa. Waige Uholanzi, German, nk wanazo rangi nyingi lakini hutumia hardly only 2 colours.

Aminia, tuige jezi tu au hata soka yao, football administration na infrastructure?
 
Sio lazima kuvaa jenzi zenye rangi zote za bendera ya taifa. Hawa wadhamini vipi? Tungeweza kuwa na jezi ya blue na ufito mdogo wa njano, halafu bukta nyeusi. Nadhani wadhamini na viongozi wa TFF sio wabunifu. Hii rangi ya jezi kama hapo juu kwa kweli inachukiza, na hasa kama timu yenyewe nayo inacheza ovyo!
 
Last edited:
Back
Top Bottom