Update ya mechi ya stars na rwanda

wadau mnaopata hayo matokeo kwa njia yoyote ile tunaomba muendelee kutuabalisha jamani
 
wadau mnaopata hayo matokeo kwa njia yoyote ile tunaomba muendelee kutuabalisha jamani
hebu pitia kwenye website ya mwananchi wameshatoa.
Ila we need a stronger team Rwanda ni wadogo saana kwetu. Tuwaombe bafana bafana
 
ok mkuu nashukuru nimeshapitia, ni kweli sasa zinahitajika timu ngumu zaidi kwa ajiri ya kujipima ili hata tukishinda tunajisifu kwamba tulifanya kazi.
 
Rwanda wako nafasi ya 100+ wakati stars wako nafasi 94. kwanini tusicheze na timu zenye uwezo?
Maximo anaendelea kutufanya wajinga.
 
He he he he he,ooooh tunashinda mechi za nyumbani tu. Jamani soka linasogea katika mwendo mzuri tu. Tanzania oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
 
Back
Top Bottom