Kwa nafasi iliyofika kama klabu ya nne kwa ubora Afrika, Simba SC sasa ina profile kubwa isiyopingika wala kuwa na ubishi katika mpira wa Afrika na duniani.
Rai yangu kwa wachezaji, viongozi na...
Simba SC watashuka dimbani leo saa 10:00 jioni kuwavaa Mbeya City katika mchezo wa Robo Fainali ya CRDB Bank Federation Cup, ukitarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.
Mchezo huo utakuwa kipimo muhimu...
Ilikuwa mwaka 1974 wakati Kwa mara ya Kwanza Timu toka Tanzania kucheza nusu fainali za club bingwa nayo NI Simba SC.
Baadhi ya mashujaa wetu walikuwa;
1-Golini: Athman Mambosasa a.k.a angaza...
Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha aipongeza Klabu ya Simba bungeni;
"Lakini tulisaini mkataba na federation, tutatumia ile, tutavitumia vilabu vya Simba na Yanga vina walipa kodi wengi wafuasi...
Kwa sasa pale united kuna mctonomy hyu dogo anafanya ya nick butt, kazi ya mchezaji anayetakiwa aharibu formation ya timu pinzani.
Hjulmand ni aina ya mchezaji ambaye hutakiwi kumtegemea katika...
"Tukifika robo fainali tutakua tumefikisha jumla ya alama 39 na kua nafasi ya 5"
"Tutakua tumetengeneza historia kuwa Club ya Kwanza kwa Tanzania kufika nafasi ya 5"
"Lakini kubwa zaidi tutapata...
Limeanza kutamba eti yanga ni halali yao.
Shida ni kunywimwa pesa lilizoba kwa injinia kwamba linadaiwa kodi ya pango,basi limeweka nongwa ya kuisakama yanga
Sikali ilivyosaini mkataba wa Bilioni 32 ukarabati Uwanja wa Benjamin Mkapa
Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ilisaini mkataba wa makubaliano ya ukarabati wa Uwanja wa...
Huyu ndie refarii Wana Simba tulikuwa hatuna hamu nae kabisa kwenye dabi ya Kariakoo. Kila akichezesha dabi ilikuwa lazima Simba tulie.
Kwa Manyoto Ndimbo, sijui Kayoko akasome, Manyoto alikuwa Moto!
Habari wadau!
Mpaka sasa, tumesikia na kusoma mengi kuhusu hii mechi ambayo haikuchezwa baada ya Bodi ya ligi kuiahirisha huku Yanga wakifika uwanjani na Simba kutofika kama walivyokuwa...
Ni mjinga pekee ambae anashindwa kujua ubora wa Yanga kipindi hiki. Kuna watu wanaodhani kuwa GSM kudhamini timu 6 kwenye ligi ni vibaya, kutainufaisha Yanga.
Huku ni kupenda timu yako bila...
Miaka ya nyuma nikiwa mdogo,nilikuwa na rafiki yangu mlemavu akitumia baiskeli ya matairi matatu.
Kwa maekezi yake yeye na walemavu wengine waluruhusiwa kuingia mpirani bure kuona mechi yoyote...
Imefichuka kuwa klabu ya Yanga imemwaga dau nono ili kumshawishi kiungo mahiri Feisal Salum "Fei Toto" kurejea Jangwani. Kwa mujibu wa taarifa, Yanga wameweka mezani ofa ya shilingi milioni 750...
Huu uzi kuna watu watapita kama hawaoni maana wengi mwaka huo walikuwa viunoni mwa wazazi wao, wengine mlikuwa Sitimbi huko hamjui hata video ni mdudu gani.
Mwaka 1986 kulikuwa na fainali za...
🚨 Kama Bodi ya Ligi Kuu Tanzania na idara ya ufundi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) watasimamia vyema kanuni za Ligi Kuu msimu huu, hakuna namna Kocha mpya wa Yanga, Hamdi Miloud...
Jonathan ikangalombo sio mchezaji wa soka Bali ni tapeli uliyeamua kujipatia kipato kupitia mchezo wa soka.Hivyo natoa wito kwa Eng.Hersi kumkamata huyu tapeli nakumfukuza mara moja..!!
Daima...
Mashindano ya shirikisho Yana timu dhaifu mno. Kama hawa Waarabu wamelegea
Mno
Nawaza tu hii Simba mbovu ingekuwa kwenye mashindano ya wanaume yaani CAFCL achana na haya waliyomo ya akina mama...
Utakumbuka wakati wa Mwinyi Zahera hapo zamani hawa Stand waliharibu unbeaten run yetu ya mechi kibao bila kufungwa tulipokutana nao pale kwenye uwanja wao kupitia kwa Jakobo Massawe wakamfunga...
Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Amos Makalla amewataka wananchi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi wasichoke kuichangia timu ya soka ya Namungo...