Nchi ambayo imeshiriki mara nyingi Fainali kombe la Dunia ni:
1.Brazil ambayo imeshiriki mara 19, ikifuatiwa na
2.Germany na Italy zimeshiriki mara 17,
3.Argentina mara 15.
4.Mexico mara 14...
Asked who he believes the next African superstar will be, Wenger responded: I dont know the answer to that. There is no-one at the moment. But this World Cup will be a great opportunity to see...
Ile shoo iliyokuwa ikipaishwa hewani kila Jumapili kupitia Kituo cha Televisheni cha TBC1, Serebuka imekula mwereka kusonga mbele baada ya muandaaji wake kushindwa kukidhi mahitaji ya washiriki...
NILIPOSIKIA kuwa rafiki yangu Yusuf Manji amejitosa kuwa mfadhili wa klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam na amemwaga mamilioni ya fedha kwa ajili ya usajili wa wachezaji na mambo mengi lukuki...
I hope this guy can someday make it to good European league.
In many ways, the turning point of the contest came on 67 minutes, as Khalfan came on for Philippe Davies in what was the winger's...
Baada ya uhuru tulikuwa na mashindano yanitwa Gossage Cup. Mashindano haya yalikuwa yanadhaminiwa na kampuni ya madawa ya Gossage; mashinado haya hayakuwa na uhusiano na yale mashati ya Gossage...
Maoni ya katuni
Hatimaye michuano iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa ya Kombe la Dunia imeanza jana nchini Afrika Kusini. Michuano hii itakayofikia ukomo...
Kwa watakaokuwa maofisini au sehemu yeyote wataopenda kufuatilia kwa kuona live video event za worldcup.hii ni baadhi ya mitandao unaweza kuona kama internet yako ina capacity nzuri ya...
Kwa masikitiko makubwa na kwa mara ya kwanza kwa zaidi ya miaka 16, watanzania wengi (hasa walalahoi) hawatopata nafasi ya kuangalia michuano ya fainali za Kombe la Dunia linalotarajiwa kuanza...
Nelson Mandela's great-granddaughter has been killed in a car crash after a concert on the eve of the World Cup.
Zenani Mandela, 13, died when travelling home after the concert in Soweto, the...
Wadau...zikiwa zimebaki siku takribani 32 kuanza kwa Kombe la Dunia mwaka huu wa 2010 kule 'Bondeni' si vibaya tukaanza kujadili kwa kina kuhusiana na teuzi za timu pamoja na maandalizi ya timu za...
Nchi yetu kama kawaida hatuma katika mashindano ya world cup.jee ni nchi gani utaishangilia katika world cup.
mimi nitaisapoti south africa all the way .zikifuatiwa na nchi za kiafrika zote.
wakati tukiwa ktk countdown ya mechi ya kwanza kuanza kombe la dunia, kuna kitu bado nna hasira nacho kwa tabia ya makocha na wamekua wakiigana cjui kwa kutaka umaarufu au la pale wanapowaacha...
wana JF,
Natamani na mimi nikaache ka TV kangu (size yake nakajua) ila ningetaka sehemu ambapo WC itaonyeshwa LIVE kwenye big screen na penye washabiki. DAR popote nitakwenda ingawa prefarable...
Forward this to your bosses please or else you will get fired during this period.
Dear Sir/Madam,
I wish to let you know that the FIFA World Cup is about to begin. This is not just any...
Pele says Spain, Brazil are best teams
Last Updated: Thursday, June 10, 2010 | 10:31 AM ET
The Associated Press
Brazilian football star Pele kisses the FIFA World Cup during its...
Kuna mtu kanipigia simu kuniuliza kama ITV wataonyesha world cup live mechi zote? Kwa kweli nimeshindwa kumjibu eti itv wametangaza hayo?
Wenye habari kamili tujuze maana nimeingia kwenye wavuti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.