Twiga Stars VS Bafana Bafana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Twiga Stars VS Bafana Bafana

Discussion in 'Sports' started by The King, Oct 31, 2010.

 1. T

  The King JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1-1 HT bado
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Du, broda, ulivyoandika mtu wa hobby ya tofauti na mpira hatakaa akuelewe!
  Nadhani unamaanisha goli 1 kwa1, na Half-Time bado!
  Asante kwa taarifa, kazi na dawa!
   
 3. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Mkuu shukrani endelea kutupa update, btw hawa ni banyana banyana sio bafana bafana(timu ya taifa ya wanaume SA)
   
 4. m

  matambo JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  wabongo wanausakata ile mbaya, dakika ya 70 bado 1-1
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  jamani msinipasue moyo... uchaguzi unatosha, dk sabini tayari?
   
 6. m

  matambo JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mh ila muda huu timu yetu imezidiwa kidogo naona kiungo hakipandishi mashambulizi
   
 7. T

  The King JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni dakika ya 77 bado 1-1
   
 8. m

  matambo JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  sasa timu yetu ni butuabutua nahisi wanahitaji kutulizana, wasipaniki, tukipata droo kwenye mechi hii itakuwa safi sana kwetu
   
 9. m

  matambo JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  sauzi wanapata penati
   
 10. m

  matambo JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mamelo kafunga dakika ya 85 sauzi 2- TWIGA1
   
 11. m

  matambo JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Naona ester chabruma kachokaa, pia mchezaji mwanahamisi shurua anapewa kadi nyekundu kwa second yellow anadaiwa ali-dive
   
 12. m

  matambo JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mpira umeisha ijapo bado kidogo tufluke kupata goli

  final score banyanabanyana 2-twiga stars 1

  timu zingine kwenye kundi ni nigeria na mali, kwa hiyo kazi ipo sana

  nasikia wachezaji wa twiga wanalalamika wewe nini bwana? Sijui wanamwambia nani
   
 13. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2010
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  mpira bado haujaisha?
   
 14. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2010
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  ok, thanx for update...
   
 15. m

  matambo JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  MKwasa anahojiwa anawapongeza wachezaji wake, ila analalamikia ua muzi haukuwa mzuri, anadai ile red card haikuwa sahihi badala yake sisi tulistahili kupata penati

  anawaheshimu mali na nigeria kwamba wana timu nzuri ina ana uhakika watashinda mechi zijazo
   
 16. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Dada zetu wanaujua mpira na wamecheza kwa malengo haswa! sikutegemea kiwango kile.. Banyana wameshinda kwa taabu pamoja na wachezaji wao wenye utata kama wawili hivi wamekaa kidume dume hivi:smile-big:
   
 17. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Banyana wamemchezesha semenya nini?
   
 18. M

  Mundu JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Twiga Stars wamecheza vizuri sana. Viwango ni vizuri...style yao ya mashambulizi ya kushtukiza ni tamu mno. Kama refa asingewakatisha tamaa na mafilimbi yake ya offside...sasa hivi tungekuwa tunaimba akanana, na kucheza kiduku.
  Tatizo kubwa nililoliona katika dakika kumi za mwisho ni kupoteza muda kana kwamba wanatafuta droo hivi. Hii ilipelekea mashambulizi mengi langoni mwao.

  Twiga wanatakiwa wajue kwamba, Tanzania kwa kufika pale hatuna cha kupoteza. Wacheze mpira wao, na nina uhakika wanaweza wakafanya vizuri katika mechi zijazo.

  Hongera dada zetu.
   
 19. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  si mbaya kivile ila wakaze but waache tabia ka za kaka zao
  hawawezi kulinda magoli?
   
 20. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu, walichezesha Semenya wawili, na mmoja wao ndio alitufunga goli la kwanza
   
Loading...