Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wakuu nimeona bora niweke hii thread kwa wadau wenzangu kama mimi ambao nimemiss sana ligi tuweze kudiscuss mechi hii ya kugombea ngao pamoja huku inaendelea.
0 Reactions
105 Replies
8K Views
Wabongo bwanaa utatujua tu cheki kocha msaidizi wa watani eti yeye anadhani kuwa kocha bora ni kuvaa shati na tai au suti wakati wote?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Yawezekana nikawa katika wachache wapenda nidhamu tanzania lengo langu kuu ni kujiuliza kabla ya kuwarudisha kaseja na chuji tumejua sababu zilizowatoa..na kama ndio suluhisho lake nini??? je...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hatimaye timu yetu kipenzi ya mpira wa miguu ya vijana (Tanzania) a.k.a Ngorongoro Heroes imetolewa katika mashindano baada ya kutoka sare ya goli 1-1 na vijana wa Ivori Coast. Kutokana na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Maradona says he'll run naked if Argentina wins Wednesday, May 26, 2010 | 12:09 PM ET The Associated Press Argentina coach Diego Maradona has promised to run naked through the centre of...
0 Reactions
7K Replies
367K Views
1.They are the FIFA WORLD CUP CHAMPIONS 2.They are BASKETBALL WORLD CHAMPIONS 3.FERNANDO ALONSO is 2-time F1 WORLD CHAMPION,and today he won GERMANY F1 GRAND PRIX 4.RAFAEL NADAL is WORLD NO.1...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Blanc has named his debut panel... True to his word, Laurent Blanc has refused to select any of the 23-man France World Cup party in his squad to face Norway next Wednesday, plumping instead...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TAIFA Stars new coach Jan Poulsen from Denmark gives instructions to players during the team’s training session at the Karume Memorial Stadium in Dar es Salaam on Wednesday. (Photo by Yusuf Badi)
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Cheki walivyoandika hiyo nchi tunayocheza nayo
0 Reactions
0 Replies
3K Views
By STUART CONDIE (AP) August 02, 2010 A Chinese businessman with a minority stake in the Cleveland Cavaliers has offered to buy Liverpool's $374 million debt from a British bank in an attempt...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kenya collected five more gold medals on the final day to top the standings and reclaim the African athletics championships title here on Sunday...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Hivi kweli JF yote imejaa wapenzi wa mpira tuuuu.......hamna hata mtu anapenda tamthiliya? Mi napenda na huwa naangaliaga chache, ningependa kufahamu kama kuna mtu anayependa na angependa tuwe...
0 Reactions
84 Replies
11K Views
Hatimaye kocha mpya wa Brazil, Mano Meneze, amemuita mshambuliaji chipukizi Alexandre Pato. Mpachika mabao huyo kinda aliachwa bila sababu ya msingi na kocha wa zamani, Carlos Dunga, katika kikosi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria jana usiku imefanikiwa kuingia katika fainali za FIFA za kombe la dunia baada ya kuifunga timu ya taifa ya Colombia bao moja kwa bila. Nigeria sasa watacheza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari usiku wa jana, kuwa mlinzi wa kimataifa wa Hispania na beki wa kutumainiwa wa bacelona Cales PUYOL amesema kuwa amefanya mazungumzo na kiungo wa kimataifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
YOUR AGE BY CHOCOLATE MATH.... Don ' t tell me your age; you ' d probably lie anyway-but the Hershey Man will know! YOUR AGE BY CHOCOLATE MATH This is pretty neat. DON ' T CHEAT BY...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Muda mfupi nimeshuhudia mabinti wa ki-Kenya wakiwanyanyua Wakenya katika viti katika mashindano yanayoendelea ya mabingwa wa Afrika. Nadhani tungewekeza katika michezo ya hivi tungewahi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
-- Argentina's top soccer officials lied to and betrayed coach Diego Maradona in deciding not to renew his contract, he told reporters. "Grondona lied to me; Bilardo betrayed me," said the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ni katika kuleta nidhamu ya mpira uwanjani ilionuka ama inayoendelea kunuka kwa kumruhusu mchezaji kuvuta majanii siku za mechi....nasema hivi nikimaanisha tumeona wapo maarufu wengine wamrudi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…