ARE THE SPANiSH MOST TALENTED ATHLETES IN THE WORLD??

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
51,719
107,824
1.They are the FIFA WORLD CUP CHAMPIONS
2.They are BASKETBALL WORLD CHAMPIONS
3.FERNANDO ALONSO is 2-time F1 WORLD CHAMPION,and today he won GERMANY F1 GRAND PRIX
4.RAFAEL NADAL is WORLD NO.1 TENNIS PLAYER
5.JORGE LORENZO is 2-time MOTOGP WORLD CHAMPION,and currently he is leading world championship MOTOGP[MOTORBIKE RACE]
6.Alberto Contador Velasco (born 6 December 1982) is a Spanish professional road bicycle racer for UCI ProTeam Astana. He was the winner of the 2007 Tour de France with the Discovery Channel team, and the 2008 Giro d'Italia, the 2008 Vuelta a España, and the 2009 Tour de France as well as the 2010 Tour de France with Astana. He is the fifth racer in history, and the first Spaniard, to win all three Grand Tours of road cycling.

Are they most talented athletes in the world??
 
mimi ntachanigia ktk mafanikio kisoka,kwenye soka wapo juu kwa sasa,yani ukiwa na xavi na iniesta tu ushindi upo,mabingwa wa ulaya 2008 na mabingwa wa dunia 2010,nchi ya kwanza ulaya ktk soka kubeba kombe la dunia nje ya bara la ulaya.
 
Mkuu... at the moment spain wako juu na hii ni matunda ya syste yao yote ya elimu kuanzia primary education...

In spain every child MUST be involved in sporting activities hata kama ni handicapped
 
mbona hujataja barca na real ktk ulimwengu wa soka wanvyotingisha! they are the people with history and i think they are very talented plus with money and good facilities they surely the best athelets to be honest!
 
hao real madrid na barca though ni spanish team lakini kuna mkono wa foreigners.....zidane,ronaldo,rivaldo,ronaldinho walisaidia kuinua timu hizo
 
5.JORGE LORENZO is 2-time MOTOGP WORLD CHAMPION,and currently he is leading world championship MOTOGP[MOTORBIKE RACE]

Hapa ni kwa sababu 'The Doctor alias Valentino Rossi' ameumia..He is the best in motoGP&I like him more!

Ila kuna ukweli kwenye uchambuzi wako!..inaelekea hawajui kuogelea,ha ha
 
Hapa ni kwa sababu 'The Doctor alias Valentino Rossi' ameumia..He is the best in motoGP&I like him more!

Ila kuna ukweli kwenye uchambuzi wako!..inaelekea hawajui kuogelea,ha ha

uko deep kwenye race....hadi motogp umo??anyway im a big fan of THE DOCTOR....he is back on crutches and he manage 4th and 3rd in his last 2 comeback races........
 
hao real madrid na barca though ni spanish team lakini kuna mkono wa foreigners.....zidane,ronaldo,rivaldo,ronaldinho walisaidia kuinua timu hizo
hiyo ilikuwa zamani na ndio maana hata timu ya taifa ya soka ya spain ilikuwa chenga twawala nyingi ila hakuna mafanikio,sema sasa mfano hao unaona barcelona fc,hata messi si ajabu wakamtema,sasa hivi kuna kizazi kipya kina jeffren,busquets,kirkic na ukiongeza villa,wakimchukua na fabregas kazi wamemaliza inakuwa kuanzia 1 hadi 11 wote spaniards,wana mpango kukuza kiwango cha michezo na vipaji vya waspain kocha mwenyewe mspain na kachezea barca,kocha wa makipa ni babaake sergio busquets anaitwa carles busquets kipa namba 2 wa zamani barca miaka ya 80 hadi 90 mwanzoni,kuna technician andonni zubizaretta kipa wa zamani wa spain,barca na valencia wote wapo ktk kamati ya barca,spain wanaitumia barca kukuza kipaji cha waspain sasa ndio maana wanamhimiza kumchukua cesc fabregas,ukienda sekta zingine ndio kama alivyosema mchangiaji aliepita juu jina analotumia Acid
 
uko deep kwenye race....hadi motogp umo??anyway im a big fan of THE DOCTOR....he is back on crutches and he manage 4th and 3rd in his last 2 comeback races........

Kwa kuangalia tu basi niko deep..Kumbe wote ni fans wa The Doctor, nice racer huyu muitaliano!..I hope he wins this season's title as well!!
 
Nawakubali sana Rafael Nadal ,Pau & Marc Gasol but sijawaona Waspanish kwenye riadha,boxing
 
mafanikio ambayo spain aliyoyapata ktk soka kuanzia 2008 walipobeba euro kule uswiss na austria,na kupita ktk kuingia world cup 2010 ktk group lake kwa kushinda mechi zote,na kutopoteza mechi 35 mfululizo,ingekuwa england kila mtu hata ambae soka imempitia kushoto angejua maana wanajua kujitangaza na kujipa umaarufu,spain wanaitangaza kwenye mabaya eg ubaguzi wakati dunia hii kila sehemu ubaguzi upo,hata wakati inaanza world cup 2010 watu wengi(ila sio zaidi ya 50%) kama sio wote walikuwa hawajui kama spain ni alikuwa bingwa wa euro 2008,na vilevile wamebeba 2010 world cup lakini sio makelele kama ufaransa walipobeba 1998 world cup na euro 2000 wakawa sifa bingwa ulaya bingwa euro kwa lugha yao sijui vizuri (copa la munde,copa de europe),hata waliposhika fifa ranking namba 1 wengi wa watu nadhani pia hawakulitambua hilo,si ajabu hadi 2014 wengine wakasahau kuwa spain ndie bingwa mtetezi world cup,ila kazi imeanza wanaitangaza nchi yao sasa kwa vitendo sio kuongea sana kama england maana talk is cheap,as a man sow he is a reap(kuongea rahisi,mtu anavuna anachokipanda),real madrid ina mafanikio makubwa sana ulaya,ila chelsea inavyotangazwa haijafikia hata robo ya mafanikio ya real madrid,hata barca wanayoibeba ni waspain xavi na iniesta ila inaonekana barca ni messi.me ecanta espana(i like spain) espana noma(spain is top)
 
Back
Top Bottom