Sulemani Matola - Shati na tai hata mazoezini?

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Wabongo bwanaa utatujua tu cheki kocha msaidizi wa watani eti yeye anadhani kuwa kocha bora ni kuvaa shati na tai au suti wakati wote?

s14.jpg
 
Acha majungu hiyo picha imepigwa jana kwenye sherehe ya simba day.Je ulitaka avae pensi nn.mjomba sometimes nguo uvaliwa kutokana na umuhimu wa siku
 
Back
Top Bottom