Mashabiki wa arsenal bwana...!! Kaaaaazi kweli kweli. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashabiki wa arsenal bwana...!! Kaaaaazi kweli kweli.

Discussion in 'Sports' started by kajukeg, Jul 30, 2010.

 1. kajukeg

  kajukeg Member

  #1
  Jul 30, 2010
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari usiku wa jana, kuwa mlinzi wa kimataifa wa Hispania na beki wa kutumainiwa wa bacelona Cales PUYOL amesema kuwa amefanya mazungumzo na kiungo wa kimataifa wa Hispania na ARSENAL CESC Fabriagas na fabrigas kuweka bayana kuwa hataondoka kwa washika bunduki hao london msimu huu.

  taarifa hii imewafanya mashabiki wa arsenal kupatwa na kiwewe utafikiri tayari wametwaa ubingwa wa ulaya.
   
Loading...