Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nilibahatika kuangalia mechi ya simba na tp mazembe pale uwanja wa Taifa,kwa kweli pamoja na simba kufungwa lkn nilikuwa na furaha kubwa sana cku ile kutokana na na performance iliyoonyeshwa na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi Wanasoccer Please ninaomba web site yoyote ambayo ninawe kuangalia match za uefa Live Ta very much to all
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TULIONA TU YA KWANZA KAMA HAPA TULIFUNGWA KIZEMBE SANA
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati nafuatilia habari za michezo kupitia taarifa ya habari ya channel ten mtangazaji alidokeza kuwa kuna shabiki mmoja alichomwa kwa kisu na kufa kariakoo kutokana na ushabiki baaada ya mechi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dakika 11 zimeenda, bado ni 0-0
0 Reactions
80 Replies
16K Views
Ni moja kati ya wachezaji mahiri na mwenye uwezo mkubwa ambaye ukimtazama jinsi anavyopokea mpira na kutoa pasi na anavyojiweka katika nafasi pia uwezo mkubwa wa kuwa na mpira mda mrefu. My...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani hiyo mechi haijaanza tu? ama sio leo? maana naona kimya hatupati updates ya mechi please nijuzeni wakuu kuhusu hiyo mechi kama ipo
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Flash Score: Live Soccer Scores, Livescore
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu.naomba kujuzwa ni station gani ya tv inarusha live hili tukio na muda plse ili sie wa mikoani tuweze shuhudia.nawatakia jumapili njema
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Manofu, Pawassa, Mahadh, Lunyamila walipotonesha ‘donda’ la Watanzania .Ni katika mechi ya Veterans wa Simba, Yanga U/Taifa .Wapeleka ‘uhondo’ Dodoma Machi 27 NA MICHAEL MAURUS MASHABIKI wa...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Ni ktk mechi ya pili ya ligi kuu ya Italia maarufu kama Serie A. Milan tuko mbele ya Inter kwa tofauti ya pointi mbili. Mechi ya kwanza iliyokuwa chini ya Inter, tuliweza kuwafunga kwa Goli 1-0...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
KOCHA wa Simba Patrick Phiri amesema kikosi chake kitatumia mfumo wa kushambulia kwa kasi lakini kwa tahadhari mno ili kuepuka wapinzani wao TP Mazembe wasipate bao katika pambano lao la...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ikiwa inakabiliwa na mechi ngumu hapo kesho dhidi ya Jamhuri ya Afrika ya kati,wachezaji wamewekwa kambini hapo Atriums Hotel Sinza lakini cha kushangaza jana jioni kwa geti la nyuma wachezaji hao...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu mnaofuatilia kabumbu. Kuna wakati hapa Jamvini watu walimponda sana MAXIMO kuwa ndio kikwazo kwa maendeleo ya soka, nakumbuka hata mwanasoka mmoja aliingia jamvini na kumponda Maximo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
habari za saa hizi jamani,naombeni mnisaidie kuna mtu nabishana nae hapa,kati ya mwaka 2001 au 2002,simba ilicheza na timu moja kutoka misri,harafu mvua ikanyesha wakati simba inaongoza goli...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeee
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jf Vipi matokeo ya mnyama na kagera? Je nafasi yetu kutetea kombe hili ikoje? nawakilisha
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wadau tupenae uhondo live wa mechi kati ya Yanga na Azam.......
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Maelfu ya raia wa Mali walijitokeza kuishangilia timu ya Libya katika kufuzu kwa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwenye mji mkuu wa Mali. Mashindano hayo yalifanyika Bamako kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…