Kila kocha kwenye timu anayofundisha huwa anamchezaji ambaye ni swaiba yake.
Nasukia Jin cha awaaa Ni best wa kocha mzulu mixer muhindi Fadluhussein
Huo ushikaji utakujakumtokea puani huyu kocha
Naona kejeli zimekuwa nyingi. Hivi Yanga haijawahi kushiriki mashindano ya Kombe la shirikisho CAF?
Tena Yanga si ilishiriki shirikisho kama Luza (looser) toka mashindano ya Klabu Bingwa...
Leo baada ya ushindi kiduchu tunaanza kudanganyana kuwa mechi za nusu fainali hazina magoli mengi, pumbavu kabisa.
Hazina magoli mengi wakati RS Berkane anaongoza bao 2 huko hadi sasa half time...
Habari za muda wadau .
Wanasimba hongereni kwa ushindi.moja kwa moja kwenye point nikwamba wiki mbili zilizopita niliandika uzi wa kuwa simba akifuzu nipigwe ban .
Nakweli baada ya simba...
1. Tukubali au tukatae, tukana lakin Clatous Chota Chama bado anahitajika ndani ya timu yetu, awe yeye au Feitoto, leo ndio Chama angejichukulia ujiko mwingi sana.
2. Mechi imeharibiwa na kocha...
Nauliza mapema hapa..Kuna wale Sasa hivi wanasema STELLENBOSCH ni bonge la timu..ila ikija kufungwa wanabadilika na kusema hamna kitu pale..vibonde wale.
Haya Sasa Je STELLENBOSCH timu kubwa au...
baada ya simba kushinda moja ziro, sasa macho na masikio ni kwenye mbio za 127 za boston marathon 42K huko marekani kesho tarehe 21 aprili 2025.
Simbu ni mwanariadha wa kimataifa mwenye sifa ya...
Klabu ya Vipers SC ya nchini Uganda imemzawadia Mtoto Jamal Ssenyondwa aliyetokwa na Machozi katika uwanja wa Nakivubo wakati Vipers ilipopigwa goli la pili na klabu ya Express United na kufanya...
Mimi kama mwanachama wa Yanga nampongeza mfadhili wetu GSM Kwa mazuri anayoifanyia timu yetu
Lakini tukumbuke GSM ni binadamu anaweza siku akaamka hana furaha, akasitisha ufadhili wake, Kuna...
Wameshinda lakini hawana furaha. Tafsiri ya kauli hii ipo mioyoni mwa mashabiki wa Arsenal.
Wakati tunajiandaa na come back kabambe dhidi ya Hawa watoto (Arsenal), nawatembeza chini ya barabara...
Mwanamuziki nguli wa Bongofleva, Lady Jay Dee aliwahi kuimba kibao maarufu " Siku hazigandi " alikuwa sahihi. Lile pambano lililokuwa linasubiriwa kwa hamu hatimae ndio linapigwa leo, ama kweli...
Elie Mpanzu aka Joshua Mutale toka kongo.
Huu ni usajili wa kisiasa na inawezekana asichezee kabisa Simba msimu huu.
Simba ni mabingwa wa kufanya sajili za kisiasa kutuliza joto la mashabiki...
Ewe Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema na mwenye kurehemu, ulisema niombeni na mm nitawapa, tunakuomba mwenyezi mungu, muumba mbingu na ardhi, sisi waja wako hatuna lolote isipokuwa ni kukuomba wewe...
ANAANDIKA EMMANUEL MALIMA
TWENDE NA DATA
MICHUANO ya Kombe la CAF, ilikuwa ni michuano maalumu ya kila mwaka, iliyoanzishwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kwa kuzishirikisha timu...
Klabu ya Simba SC itapata kitita cha dola 750,000 sawa na zaidi ya Shilingi bilioni 2 (2,006,874,750) baada ya kufuzu hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Simba SC imefanikiwa...
Nimechungulia kila kibuyu, nimeenda kwa wenzangu wanaojua kuangalia kama mimi, Leo kama unataka ckukuu iwe njema wekea simba tu kwenye betting, kipigo kitakatifu atakula mwafrika kusini.
Iwe mvua...
Mtangazaji Mwijaku alitoa ahadi kuwa Yanga Sc ikimfunga Simba basi atampa mke wake Ali Kamwe ambaye ni Msemaji wa Yanga
Vipi sasa kashampeleka kwa Ali Kamwe au Kamwe amfuate mwenyewe?
Ubaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.