Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wapendwa, kweli sasa nimeona pengo la ndugu yetu Tido, tangu aondoke TBC au shirika letu la utangazaji naona mambo vululu vululu. Shirika la Taifa linashindwa hata kutangaza mechi ya mpira wakati...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi ushabiki wa usimba na uyanga unasaidia kukuza soka la bongo?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Senegal secured their place in next year's African Nations Cup with a 2-0 win over DR Congo on Saturday night. Moussa Sow put Senegal in front in the 35th minute and, although...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Hivi ushabiki bongo wa u simba na u yanga unachangia kukua kwa mziki? Nawakilisha kwenu!
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Wakuu anajua uhamisho wa eto'o wa kuhamia rashia na kupata mshahara mkubwa kuliko wachezaji wote dunia umefikia wapi atujuze maana niliisikia kwenye vyombo vya habari na sijui iliishia wapi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hakika kichapo kile kimeleta mafanikio kwa sababu tunao,arteta,yossi benayoung na per metsacker!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman wandugu wa jf naomba kwa yeyote mwenye information kuhusu tv itakayo rusha mech ya stars na algeria leo. Si unajua huku mikoani ni ngumu kidogo kuja dar kuangalia hyo mech. Uchumi uko chni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
baada RVP kupata kichapo toka manu kaamua kutoa kichapo na kwa San Marino baada kuichotea timu yake mabao mnne wakati wakiwa wameshinda 11 - 0. matokeo mengine ni Spain 3 - 2 Chile Germany 6...
0 Reactions
1 Replies
934 Views
Wazee matokeo ya gemu ya cheka vs maugo imekuwaje??
0 Reactions
12 Replies
2K Views
vijana wa ars mmeamua kufugwa goli za mechi nne haya bana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Fuatilia link hiyo kwa mujibu wa Blog ya Shafii Dauda. EXCLUSIVE: SHADRACK NSAJIGWA AVUTA JIKO | Shaffih Dauda Sports Blog
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Transfer deadline day deals at-a-glance ​ The next Roberto Carlos? What Arsenal fans can expect from Andre Santos ​ Modric, Meireles and Sneijder: Top 10 transfer deals we expect to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
tatizo la hii stori ni mayai..
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Nafahamu kuna watu wengi wana wehu wa mpira na ushabiki hauna logic but mimi mwenzenu naona tulipofika kama watanzania au waafrika ni too much tena ni hatari mno....LIGI YA UINGEREZA hii...
7 Reactions
48 Replies
6K Views
Wadau, mara nyingi ukikitazama kipindi hiki kupitia ITV huwa nakiona kiko bias kwa timu fulani.Ni muhimu kikaboreshwa kama si kukiondoa kabisa.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tuesday, 30th August, 2011 E-mail article Print article President Museveni tries to show his martial arts skills with takwondo Judith Onoria Aujo after...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
kwa kipigo cha kihistoria kabisa kuwahi kutokea kati ya man utd na arsenal , 8-2 hatimaye msiba mkubwa sana umepelekwa kwa jamii ya washika bunduki wa jiji la London. kijana etu Welbeck alianzisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu ndondi esp. za heavy weight division zimekosa ule utamu wa boxers wa miaka ya akina enzi za watu kama akina Mike Tyson, Evander holyfield, Lennox Lewis, John Ruiz, Larry Holmes...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana jf na wadau wa yanga, Mwenzenu imetokea nimepoteza kabisa mapenzi na timu ya yanga kwa sababu ya rangi zake za ki ccm ccm!! Nimeona watu wengu pia wakilalamika juu ya hili. Pia kuona watu...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…