Msaada mechi ya stars leo

Tanganyika1

JF-Expert Member
May 10, 2011
422
86
Jaman wandugu wa jf naomba kwa yeyote mwenye information kuhusu tv itakayo rusha mech ya stars na algeria leo. Si unajua huku mikoani ni ngumu kidogo kuja dar kuangalia hyo mech. Uchumi uko chni. Natanguliza shukran zangu.
 
Back
Top Bottom