Shirika letu la Utangazaji (TBC) limechoka ?

Megawatt B

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
259
69
Wapendwa, kweli sasa nimeona pengo la ndugu yetu Tido, tangu aondoke TBC au shirika letu la utangazaji naona mambo vululu vululu. Shirika la Taifa linashindwa hata kutangaza mechi ya mpira wakati timu ya Taifa inapocheza? hawa Star TV wanawezaje TBC washindwe?. katika mechi zote zilizochezwa mwishoni mwa wiki katika kuwania kwenda GABON 2012, nchi zote Televisheni za Taifa zimeonesha mechi zao. Tanzania hoi, hii imekaaje jamani? hivi tunajivunia nini sasa?
 
Yule jamaa aliyowekwa pale ni special kwa ajili ya propaganda za CCM so msitegemee kizuri chochote toka TBC
 
Back
Top Bottom