Rangi za Yanga zinachefua wengi wetu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rangi za Yanga zinachefua wengi wetu!

Discussion in 'Sports' started by Mpendwa, Aug 29, 2011.

 1. Mpendwa

  Mpendwa Member

  #1
  Aug 29, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yangs.jpeg

  Wana jf na wadau wa yanga, Mwenzenu imetokea nimepoteza kabisa mapenzi na timu ya yanga kwa sababu ya rangi zake za ki ccm ccm!! Nimeona watu wengu pia wakilalamika juu ya hili. Pia kuona watu kama baba riz1 na riz1 mwenyewe wana mkono huko ndo nimechefuka mno!! Nawashauri yanga wabadili rangi hata kwa kuchukua labda bluu na nyeupe ili wenye mapenzi mema wasikimbie

  Nawasilisha
   
 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  Aug 29, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  mimba uliyonayo haitaki rangi ya njano na kijani?
   
 3. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,892
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  nami pia nilikuwa naenda hata mazoezini lakini baadae haya yalivyojitokeza, hamu na mapenzi ya timu hii yamekwisha na sijafanya substitute bado!
   
 4. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2011
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zipo taarifa kwamba wewe zamani ulikuwa mwehu na tena ulikuwa unajinyea na kulamba mavi,tena unaona mkojo! upo wapi nije nikuongezee mavi?
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,026
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Hiyo asili yake mkuu,NO kubadili na haifungamani na mabo ya vyama.
   
 6. Officer2009

  Officer2009 JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Ni kweli kabisa kuwa rangi ya jezi za Yanga ni CCM 100%! Mi nilikuwa naipenda sana Yanga, ila nimeacha kuishabikia kwa ajili ya rangi ya jezi. Am now in Azam. Pliz Yanga, change the uniform colours.
   
 7. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,140
  Likes Received: 7,392
  Trophy Points: 280
  Mi nikiwekewa CCM/Yanga upande mmoja na kitanzi upande mwingine, bora nikimbilie tu kitanzi.
   
 8. n

  ngwini JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Acheni uzushi,yanga ilikuwepo kabla ya Ccm..mna mimba changa nyie.
   
 9. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  kwa maneno yako yalivyo machafu hufai kuitwa GT
   
 10. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  duuh,pa1 na kwamba i hate yanga/ccm than anythng in my lyf,bado hujanishawish kitanzini kaka
   
 11. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2011
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,281
  Likes Received: 4,286
  Trophy Points: 280
  Yanga imeanzishwa miaka ya 1930,wkati CCM imeanzishwa miaka ya 70 .Unaipenda timu kwa sababu ya jezi?
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,525
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  hili lirangi linatia kichefu chefu ..linaumiza macho kinoma
   
 13. P

  Pazi JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 2,918
  Likes Received: 623
  Trophy Points: 280
  Naona timu yenu mnaanza kuisaliti ndio tabia zenu Yanga... sasa ukiifanya Njano na Buluu itakuwa Pan african hiyo sasa.
   
Loading...