TUMESAJILI,Ahsante man united kwa bao nane,

bushman

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,411
743
hakika kichapo kile kimeleta mafanikio kwa sababu tunao,arteta,yossi benayoung na per metsacker!
 
Mkuu umemsahau beki jembe Andre Dos Santos,full beki wa kazi ya kupanda na kushuka...ni hatari tupu.
 
Tuna wanatakia kila la heri, mrudi kwenye benchi la washabiki wa soka; kwani kichapo cha gori 8 kilikuwa kinawatoa nje ktk ulimwengu wa wapenzi wa soka. Karibu na hongera kwa Usajiri wa kulazimishwa.
 
Back
Top Bottom