Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Full time Simba 1 Setif 3 aggregate 3-3 Simba wamesonga mbele kwa faida ya goli la ugenini angalia goli la okwi hapa (mods mnaweza kunisaidia kuiweka hiyo video clip hap)...
0 Reactions
233 Replies
18K Views
majumuhisho ya mijadala yetu katika forums mbalimbali juu ya mwendo wa kusuasua kwa maendeleo ya soka nchini ni udhaifu kt uongozi wa vilabu na siasa, naombeni mawazo yenu wakuu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hongera Simba na watanzania wote
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Juma Nyoso dk3 amepewa kadi nyekundu.Fitna zimeanza,huko hakuna wapinzani wakuwapa suport kwani waarab wote wako kitu kimoja. source:RFA
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Simba 3: setif 3 au simba 1: setif 3 haitoshi semeni simba imewafurusha waalgeria/setif ili Yanga waelewe maana wanaamini hadi sasa Simba haitoki
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wazee japo soka la bongo linanikera sana.....leo nitaufuatilia hu mtanange....nawaombea simba washinde......mji wa setif ni baridi kali kwa sasa ni 9°C ambayo itawaathiri sana wana simba.....
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Akuna raha kama mtu anaejua ajui akajitapa na kuamini akuna mwingine kama yeye kama vile niliota jana nikamwambia rafiki wangu shafii wa clouds simba watarudi kwa aibu dar kama uamini ni dk ya 79...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
''When I left Barcelona, I said to myself: ‘I’m leaving the best team in the world but there is a person having a problem with me. He’s not a man, not telling me what the problem is. But without...
0 Reactions
1 Replies
989 Views
watch es setif vs simba sc en direct 06-04-2012 en streaming
0 Reactions
16 Replies
3K Views
WANA JF SIMBA WAMESONGA MBELE. cLOUD EFIEM MABINGA WA KUKANDIA NA SASA HIVI WAJIFANYA KUSIFIA WANA UZALENDO AU NAO NI MAGAMBA. PUMBAVU ZAOOOO
4 Reactions
0 Replies
1K Views
hadi dk 42 kipindi cha kwanza ,setif wanaongoza kwa bao moja,na simba wanacheza pungufu! Nyosho ametolewa kwa kadi nyekundu.source michezo na magic fm.
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Hello sports guys, I have just noticed that I cant access/see ss7 and ss10 on DSTV. I have suscribed to a Premium Package. Earlier i used to access these channels.Is anyone having an idea if...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wadau uko algeria mambo yako vp kwa mnyama SIMBA
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SIMBA kesho inashuka kwenye Uwanja wa Mei 8, 1945, jijini Setif, Algeria; uwanja ambao una historia ya kipekee nchini humu. Tarehe 8, Mei mwaka 1945, majeshi ya Ufaransa iliyokuwa ikiikalia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa Tibaigana na kamati yake kwa mara nyingine eti ameirudishia yanga Point zake tatu ambazo walikuwa wamepokwa juzi kwa kumchezesha Canavaro. kama kweli basi nitaachana...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
unapozungumzia mchezo wa Soka basi kwa namna moja ama nyengine hutaacha kuitaja klabu ya soka ya AC Milan kuwa ndio timu ama Baba wa soka ulimwenguni. Milan ni timu ya kila Siku, utawala wa...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Soka la Tz limekuwa halipandi kwa sababu za kuingiza siasa za Uyanga na Usimba katika mechi za kitaifa na kimataifa. Ninachoomba kwa sakata hili la Yanga kuhusiana na adhabu walizopewa, Yanga...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Marselle vs bayern munich APOL vs real madrid benfica vs chelsea ac milan vs barcelona semi final marsell or munich vs apol or madrid benifica or chelsea vs milan or barca final...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamani mbona kimya,Tutaarifiane kuhusu rufaa ya wachezaji wa Yanga,au shaffi bado hajapewa matokeo? Tehe! Tehe!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…