Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ilimchukuwa round sita tu Klitchko kumaliza kazi!balaaaaaaaa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mzee akilimari nimemsikia akilaumu kuhusu shafii dauda kumpigia simu maximo kua asije kuifundisha yanga,. Nauliza je kwanini shafii ageuke kuwa msemaji wa yanga?
0 Reactions
50 Replies
16K Views
Wapendwa wapenda sport Najua mpo nafatilia game kati ya Itary VS ENgland Yaan leo ni mpambano kati ya RC ( Itary) VS Anglican (England)
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni mmoja wa watu tunaoamini Victor Nampoka Costa ni beki mwenye kipaji cha hali ya juu sana na pengine ndiye beki mwenye kipaji kuliko wote hapa tanzania kwa kizazi hiki. Majeruhi yameshusha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wazee wa jijini vipi mechi ya wanazi wa mjengoni haijaanza? nijuzen kama wenye jezi nyekundu wanamuenzi Mafisango
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Yule refa feki, mwanaharamu ametajwa kwenye orodha ya watakao chezesha mechi za kombe la Kagame.Akitajwa kuchezesha mechi yoyote ya Yanga sitaingia uwanjani..nina areji na sura yake
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeshituka na kupata presha niliposikia CHAMA CHA SOKA CHA ZANZI-BAR kuiondoa timu ya Yanga eti kwa sbb wamemepeleka kikosi cha vijana na sio kikosi cha kwanza.Kwa mtu anaejali ustawi wa soka la...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tukuyu stars ni timu pekee yenye historia ya aina yake nchini Tanzania. Ilipanda daraja mwaka 1985, ikachukua ubingwa mwaka 1986, ikashuka daraja mwaka 1987...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Boss wa TP Mazembe Moize Katumbi Chapwe atembelea wanja la TP Mazembe Sehemu ya Kupumzikia wakuuView kutoka sehemu ya juu ya VIPMoise Katumbi akiangalia uwanja viti vya mzungukoMakabati ya...
1 Reactions
20 Replies
8K Views
Nawashangaa sana watani na wanayanga, kwenu nyie wachezaji wapo simba tu! :wacko: Du aibu sana hata kama tutawapa ruksa muwasajili Milovan na Rage historia itajirudia tuu, lazima mchapwe 5
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Mzee Mkapa alituachia zawadi ya uwanja mkubwa na wa kisasa wa michezo(shukrani ziende kwake).Tatizo kubwa ninaloliona sasa ni hizi shughuli za matamasha mbalimbali kufanyika katika uwanja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
DG wa NSSF Dr Dau akiwa na maswahiba zake aliokua nao na kucheza nao ( Yanga Kids )kariakoo kwenye Klabu ya Pan Africa MICHUZI: NSSF YAPATA TUZO MBILI KATIKA MAONYEHO YA SABASABA
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii Thread imefungwa kwa sababu ya Chuki binafsi walizonazo Invisible pamoja na kundi lake la Mungiki Brother. Wakati tunaanzisha JF hawakuwepo hawa kina Mungiki Brothers alitutegemea sisi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbona kimya,tupeane updates wanasimba tv wenzangu! Usajili umetishaje?
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Tottenham Hotspurs confirm AVB has been appointed club's head coach
0 Reactions
6 Replies
1K Views
If you love some one, you can do anything whatever the cost.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
After weeks of anticipation, speculation and debate, Euro 2012 finally gets under way on Friday when co-hosts Poland take on Greece in Warsaw. GROUP A Poland Greece Russia CzechRepublic GROUP B...
1 Reactions
2K Replies
108K Views
Mashabiki wenzangu tuchangieni ni timu gani kwa sasa unaona inaweza kuifunga spain....kwa mimi bado sijaiona...:juggle:
0 Reactions
6 Replies
1K Views
GUMZO juu ya wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Twiga Stars kufanya vitendo vya kustareheshana, limetetewa na baadhi ya wataalam kuwa ni tendo linaloweza kufanyika kama lilivyo tendo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ni miezi mingi sasa imepita toka Rufaa ya Klabu ya Yanga kuwasilishwa kwenye Kamati ya Rufaa ya TFF, kitu cha kushangaza hatma ya wachezaji waliopewa adhabu kwa kosa la kumpiga mwamuzi I. Nkongo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…