LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,223
wakuu wanajamvi nilikuwa naomba kufahamishwa juu ya hili la sport beatting mashine zile za bahati nasim je umiliki wake ukoje na huwa kuna kuwa na vigezo au sheria zipi ili uweze kuimiliki. Na je wew mmiliki unapataje faida?? Au ni wapi naweza pata maelezo ya kina maana nilikuwa naihitaji hii mashine ili niende huko mkoani nikafungue ofisi maana hakuna kabisa.