Ni Vicent Wanyama wa Celtic ya Uskochi. Amefunga bao dakika ya 21. Hadi mapumziko Celtic wanaongoza kwa bao hilo. Tusubiri tuone mwisho wa mechi hii Barcelona wakiwa ugenini...
yaani Nairobi mitaa ya kahawa,buruburu,muthaiga,shaurimoyo,kariakoo,pumwani,majengo,makadara,kawangale,kibera,mathare,embakasi,muthaiga nk jana kila sehemu inaonyesha soka jana, nadhani story ni wanyama ni noma jo!,si ni ndio!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.