Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Leo nimeshuhudia wapenzi wa Yanga eneo la Tandika wakilaumu kuwa matatizo yote wanayoyapata ya kuzomewa na watani wao wa jadi yanasababishwa na tabia ya kocha wao. Kocha huyo raia wa kigeni...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
MABINGWA wa Afrika Mashariki na kati Dar Young Afrika jana kwa mara pili tena walionja joto katika michuano ya ligi kuu ya VodacomTanzania Bara,baada ya kufungwa na Kagera Sugar ya Mkoani Hapa bao...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Siku kadhaa baada ya Aguero ambaye ni mchezaji wa MAN city raia wa ARGENTINA kulalamika kuwa marefa wa uingereza wanatabia ya kuwapendelea wachezaji wa uingereza,utafiti umeibuka na kumuunga mkono...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
timu haifurahishi sasa tunashindwa hata pa kukimbilia kujificha,cjui kwanini ilibana kwa simba
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wazee wa kufukuza fukuza mna bahati sana juzi mlipata penalt la sivyo mngelala na kale kamoja. Na msimu huu mtashuka na daraja kabisa manake mtapigwa na kila mtu ..halafu nyie sio wa kuwapiga...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
"Ronaldinho pelts Figueirense with dazzling treble" - Ronaldinho outshines Figueirense with dazzling treble - ESPNFC
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Jana nilimsikia kupitia kituo cha Television cha ITV Msemaji(ovyo) wa Simba (Mabingwa wa soka wa Tanzania Bara) Bwana Ezekiel Kamwaga akiujulisha uma wa watanzania hatua wanazojiandaa kuchukua...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nawasalimu wana Jf? Siyo siri baada ya pambano la watani wa jadi.Jina la Boban limekuwa likipamba kwenye vyombo vya habar pamoja na midomo ya WENYE VICHWA VIGUMU ambao huwa wanasubiri dkk 90...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
975 Views
ile miamba ya soka hispania na ulaya kwa ujumla inakutana tena leo hii. Tufuatilie kwa pamoja... Mimi ni shabiki wa real madrid kipute kimeanza bado bao ni 0-0 madrid 1 baca 0 dk 25...
0 Reactions
57 Replies
4K Views
Dakika ya ishirini na Simba inaongoza kwa goli 1 Simba 1 JKT 0
0 Reactions
90 Replies
9K Views
Moderators ningewashauri kuwa na ubunifu wa kuyatengeneza majukwaa kuwa na mvuto zaidi badala ya kusubiria tu mada za kutoka kwa wadau. Mfano, michezo ya super league ningetegemea moderator...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Ni jioni hii ambapo imelazimishwa suluhu na Esperance ya Tunisia nyumbani kwake. Ilikuwa ni mechi ya kwanza ya hatua ya nusu fainali Barani Afrika. Mazembe walimaliza kumi baada ya Sunzu kulimwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wale vizabina zabina wameshuhudia wakati mnyama akitafuna mjeshi 4 - 1 ....... kadi nyekundu 2 halali za njano halali na Penati halali .......... hakuna longolongo wala malalamiko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama ilivyotarajiwa na wengi wale wachezaji wa kukodi No. 12 na No. 13 waliowawezesha Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Tanzania Bara Simba S.C kutoka droo ya goli 1 - 1 na Mabingwa wa kusakata...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Wanajamvini siku moja baada ya mechi kati ya Yanga na Simba kulitokea mabishano mengi kati ya mashabiki wa pande zote mbili,huku kila mmoja akiwalaumu waamuzi kwamba ndio waliosababisha timu yao...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ametweet kwenye twitter yake huku akicheka sana na kusema alidanganya.... ishakuwa msala kwake! source: sky news
0 Reactions
1 Replies
1K Views
....... Kweli kelele za chura hazimzuii mwenye kisima kuchota maji, na usiogope maneno kwani hata kwenye kanga yapo..... zile kelele za usajili wa kupindukia wa gharama kubwa lakini wameishia...
2 Reactions
27 Replies
7K Views
Inaonyesha Yanga wamefurahi kimoyomoyo kukosekana kwa Okwi na Maftah laa sivyo wangekaa nne jana. Maana walishangilia vibaya mno.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kawaida Arsenal wanaonekana kuutawala mchezo kwa dakika hizi zote za mwanzoni, lakini mpaka sasa ni dakika wa 25 sasa Arsenal washapigwa moja! Ni goli lililofungwa dakika ya 21 na Mohamed...
0 Reactions
3 Replies
955 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…