Masaa machache kabla ya 'La Pulga', yaani 'The Flea' ama 'Kiroboto' kama anavyojulikana Messi, kuvunja rekodi ya Muller ya kupachika mabao, veterani Ronaldinho amesikika akijipendekeza. Mkongwe...
Jana Barcelona ilicheza mechi yake ya 15 Ugenini kwa Real Betis.Akiwa na miaka 25,alivunja rekodi mbili dakika ya 25 alipofunga bao lake la pili kwa Barcelona.Amefikisha mabao 23La Liga msimu...
The unbeaten African Queens were favourites to lift the trophy in the final and they never looked like losing despite some heroic netball from the Malaysians.
Aminah Asaari's Malaysian team had...
Tanzania itacheza mechi ya nyumbani na ugenini na Uganda katika round ya kwanza ya michuano ya CHAN 2014 itakayofanyika South Africa.
Katika zone ya CECAFA zitaqualify timu 3 kwenda kwenye...
"For me Messi is the best in the world," he [Ronaldinho] added. "For the last few years he has played at a level of football we have never seen before" - Ronaldinho: Neymar will be the world's...
poulsen ameanza kulalamikia kili stars wakati yeye amechagua wachezaji ,sasa kila wakati ni samatta na ulimwengu jee hawa wachezaji aliyonao sio wachezaji ?anataka wachezaji waliopikwa tayari na...
"[Neymar] you are indeed hors concours," Ronaldinho said. "In the language of football, the others are riding bicycles while you are on a motorcycle" - Neymar earns Brazil's most prestigious award...
..............Mashindano ya Challenge kule Kampala ndo yanaishia.... leo Wa Tanzania Bara wameshindwa kufurukuta...... mbele ya Tanzania Zanzibar.... licha ya kupata goli la mapema wameonyesha...
TANZANIA 0 – 3 UGANDA: Tanzania's weakness exposed once again.
Uganda put out an impressive and dominant performance against Kilimanjaro stars, winning the game by three goals to nil. It...
Msigwa alieleza huu ni utekelezaji wa ahadi zake alizo toa katika sekta ya michezo, wana michezo wa iringa mjini wakiri wazi kuwa haijawahi kutokea mashindano makubwa ya namna hii.
zaidi...
Penati mbili zilizopigwa na Mikel Arteta zilitosha kuipa Arsenal ushindi dhidi ya West Brom.Sasa Arsenal imepanda hadi nafasi ya sita. Matokeo mengine ya leo ni haya:
Aston Villa
0 - 0...
napata mashaka sana ninapoona timu yetu ya taifa starz inafanya vibaya katika kila mashindano inayoshiriki,tatizo haswa ni nini na je TFF ina nafas gan kwa timu hii na soka la bongo kwa ujumla?
OKWI AJITIA KINANZI HADI 2014 SIMBA SC, RAGE NA HANS POPPE WAMALIZA KAZI KAMPALA USIKU WA JANA
Mwenyekiti wa Simba, Alhaj Ismail Aden Rage (kushoto) baada ya kutilia saini mkataba na Okwi...
Kocha wa timu ya taifa ya soka ya Malawi (The Flames), Kinnah Phiri, amesema kwamba tayari ameshakubaliana na uongozi wa klabu ya Simba ili ajiunge na mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu ya...
Mrisho Ngassa amejiunga El Marreikh kwa dola 70,000 kutoka Azam......mshahara atajijua mwenyewe!!....ikumbukwe kuwa Ngassa ni mali ya Azam sio Simba...
Wachezaji wa Bara wakijadiliana baada ya kufungwa na Uganda katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge usiku wa leo kwenye Uwanja wa...