Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Osama Yanga mnatupata? Muwache wenu utata, Eti simba kapakatwa? LIBOLO limewapata. Simba Taifa Kubwa, Angola kama ubwabwa, Bao 2 watazibwa, LIBOLO halitabebwa. Sikia mambo ya Mbwiga...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
jinsi upepo ulivyo tu,bila shaka yanga atapgwa leo!
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Fungua attachment uone mbinu mpya za mazoezi
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ameokoa penalti muhimu (ilipigwa na Kiiza Martin) na kupelekea Gor Mahia kuibuka na ushindi dhidi ya Tusker FC hapa Nyayo Stadium - Nairobi. Tusker FC ndio walikuwa wanashikilia kombe na sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mh.Aden Ismael Rage. Wanachama walikuchaguwa kwa sababu ya written Plan zako, tukajuwa hakika utatufikisha sehemu ambayo kila mwanasimba anaitaji kufka. Uliahidi kuingia mikataba na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mario Balotelli on Milan and Messi: Mario Balotelli: "I didn't participate today because of the laws of the Champions League but I do not know why Messi didn't participate."
0 Reactions
5 Replies
2K Views
State DJs brings you a concert one of the country's biggest urban music artistes. Nonini who was recently in the U.S. on a tour that took him through various States will be performing at the...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika UCL jana tarehe 20/2/2013 A.C. Milan wakiwa nyumbani walitutundika (Barca) mbao 2-0, leo magazeti takriban yote ya nchi hii yamepata soko wakati juzi tarehe 19/2/2013 huko London Arsenal...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Balozi wa Azam FC humu jukwaani, ndetichia. Ilikuwa baada ya game ya Azam na Al-Nasr Juba, pale nje ya uwanja mkuu wa Taifa. Ni bro poa sana, kama vile tu anatokelezea humu jukwaani, hana makuu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Malkia wa nyuki akitumia busara na jeuri ya Ngawila kawalipua simba kuwa huwezi kuwa na wachezaji ambao wako chekechea na kuwatafutia mwalimu mwenye degree.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
This is the story of a young boy whose parents were murdered during 2002 riots in Kaduna. ... He was aged 11 yrs at the time this sad incident took place. His parents, Mr Austine and Mrs...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Imefanya kazi San Siro. Ni Cataneccio ya Kitaliano. Huwa inahitaji discpline kubwa sana ya Kimafia ya kukaba. Lakini haitaweza kufanya kazi Nou Camp. Watabana sana ila wataachia! Picha hii hapa...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Hawa jamaa watatu hapo juu wanasifika kwa kuwa na maneno mataaaaam na mbwembwe na madoido na machejo meengi wanaposifia au kuelezea timu zao au wachezaji wao hapa jukwaani Hawa ukiwapa tenda...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Wakati sakata la chama cha soka likiendelea nchini kuhusu uchaguzi wa viongozi wa tff jana nilishikwa na butwaaa kusikia mama yetu yule rais wa chama cha burundi nae akisogeza mbele uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MFADHILI wa Simba SC, Rahma Al Kharoos amesema kwamba timu hiyo kwa sasa haistahili kufundishwa na kocha kutoka nje, kwa sababu haina wachezaji wataalamu na wenye ubora na viwango, hivyo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Azam wameanzisha uhusiano na Star tv kuonyesha mechi zao. Hongera azam fc na star tv ukitaka maendeleo ya soka njoo azam fc na ukitaka ushabiki wa soka nenda simba au yanga
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Vilikuwa ni Konyagi, Power na Double punch kama unavyoona masela wakizungusha. Kwa double punch hata gongo imesingiziwa.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Safi sana Ac milan kwa kuninyongea hao wanaojisikia sana,wao wanashangilia pasi 600 sie magoli.all z best watoke mapemaaa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Paralympic gold medalist Oscar Pistorius is charged with murder on Thursday after his girlfriend was shot dead at his home in Pretoria. Brigadier Denise Beukes distances the police from earlier...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
SHIRIKISHO la Soka Duniani (Fifa) limeingilia kati uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania baada ya kupokea malalamiko ya baadhi ya wagombea pamoja na kuangalia upya katiba ya TFF kama ina...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…