The APPLEABILITYSTORELIMITEDS ®} .... We are The Ultimate Appleabilitystorelimiteds .... The Best Apple Leading supplier of high-end products to customers, we deal primarily in genuine and brand...
Kweli mgema ukimsifia tembo hulitia maji, yaonekana sasa mheshimiwa Shafi Dauda anaitumia radio kupata nafasi TFF kwa kufanya uzabizabina kuhusu StarTV kuonesha 'live' mechi (za ligi) zinazoihusu...
Mchezaji wa Barcelona ya Hispania,Lionel Messi ameweka rekodi kwenye ligi kuu Hispania kwa kufunga mfululizo mechi 19.Kwa maana hiyo amezifunga timu zote 19 zinazoshiriki ligi kuu,baada ya...
Ni baada ya mpira kuisha,mpira mmoja wa thimba thiportisi kilabu ukawa hauonekani.Katika tafuta tafuta,julio akaukuta mpira kwa mchezaji mmoja wa Toto(somebody like samuel suita). Alipotaka...
1)utajua kuwa man anacheza
2)utajua kuwa man u ni wenyeji
3)utajua kuwa man u watavaa jezi nyekundu
4)utajua kuwa nyimbo gani zitaimbwa sn
5)utakadiria idadi ya watu watakaoingia uwanjan...
Man U na Chelsea zimekutana mara 166 katika mashindano mbalimbali, ambapo Manchester United imeshinda mechi 72, Chelsea (45), na wametoka sare mechi 49.
Chelsea itamkosa kiungo wake Juan Mata...
Wapendwa kuna mh mmija alikuwa mwenyekiti wa simba mh hassan dalali ambae aliondolewa kwa kigezo cha shule;baada ya hapo mzee dalali alianza darasa lka firm one na naamini amemaliza mwakajana kwa...
Yaya Youre anasema ataikacha klabu hyo asipopewa mkataba mpya. Hii ultimatum inatokana baada ya kukwama kwa mazungumzo hayo baada ya miezi sita sasa.
Akiongezea kwa hapo, agent wake, Dimitri...
Leo vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara "Yanga" wanaivaa Polisi Morogoro, kwenyd Uwanja wa Jamhuri, Morogoro katika harakati za kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
TIMU YA YANGA:
- Makoye...
Mechi kati ya Bolivia na Argentina ya kufuzu kombe la dunia,iliyochezwa nchini Bolivia katika mji wa La Paz urefu wa mita 4000 kutoka usawa wa bahari ilisababisha wachezaji wa Argentina kuishiwa...
Mabingwa watetezi
Simba, leo wanashuka
kwenye Uwanja wa
CCM Kirumba, Mwanza
kuivaa Toto African (ndugu wa damu na timu ya Yanga) katika mechi ya Ligi kuu ambayo
inatarajiwa kuwa na
ushindani...
Jamani kwa mdau wa Yanga ama Mwana JF yeyote aliyeko uwanja wa taifa atupashe mchezo wa ligi kuu ya Vodacom tanzania Bara kati ya Yanga na Prisons kutoka Mkoani Mbeya.
Wengine Leo tumebanana...
Leo tena timu ya African Lyon inayosuasua (timu nyingine wamezoea kuwaita VIBONDE) leo watakuwa wakisaka pointi tatu mbele ya Coastal Union kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.