wadau kama mtakumbuka huyu suarez aliwahi kumtafuna mchezaji mwaka 2010 alipokua ajax, Leo tena kamtafuna Ivanovic wa Chelsea bila aibu kama simba anavyotafuna kitoweo chake.
Leo kwenye majira ya saa 21:45, the Bianconeri tutakua tunalipa kisasi kwa Milan baada ya kutufunga kwa goal moja la penalty ya kupewa mwaka jana pale San Siro.
Ushindi wa leo utaongezea nakshi...
Watanzania wenzangu munaofadhili michezo mbalimbali hapa nchini naomba musiupe kisogo mchezo wa Boxing kwani ni mchezo kama ilivyo michezo mingine kama vile mpira wa miguu, Basketball na n.k...
Vinara wa Ligi Kuu ya Vodacom nchini Tanzania bara na Mabingwa mara 23 wa Ligi Kuu timu ya Young Africans leo jumapili watashuka dimbani kucheza na maafande wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT Ruvu...
Heshima mbele makamanda,leo hapa mkoani geita kuna ufunguzi wa mashindano ya soka vicky kamata cup ambayo yanafunguliwa leo j2 .Lakini cha kushangaza bado hawa magamba wanatumia ile mbinu ya...
Mancini is a failure.
Man city is a good team with a Bad Coach. The Man Mancin Must Go now. Especially kwa kushindwa kusoma mchezo. Wakati Mwenzake anaingiza nguvu mpya kipindi cha pili...
Leo tena michuano ya kombe la shirikisho - vijana wetu Azam FC wanashuka dimbani kucheza na FAR Rabat
(Association des Forces Armées Royales Rabat) ya Morroco.
Wapenzi na wadau wa mpira...
Here is the shy and retiring Premier League manager Paolo Di Canio during his low-key touchline celebrations.
The Italian pulled manic Gangnam-style moves as his Sunderland team thrashed...
Kwa kweli wanasma adui wako muombee mema mi n mmoja wao kuwaombea azam washnde ila kwa mpira huu wa leo jaman loh awa waarabu atutoki;wachezaji wazito kama wamelala guest na mizigo usiku kucha...
Takriban mwezi wa pili sasa sikusikii ukirusha mashambulizi kwa wale unaodai wanawaingilia katika utendaji wenu wa kazi. Je umetishwa? Unanikumbusha wakati uleee wa Rage, alipiga kelele weee...
Sijaona mantiki ya TBC kuonesha mechi hiyo ya AZAM ambayo ni recorded wakati muda huo huo kituo cha Star Tv kikionesha mechi Live ya hao hao AZAM wakicheza na timu ya kigeni tena mechi ya...
iv fainal za mashindano ya kombe la mabara zipo kweli mwaka huu because ni kila baada ya miaka minne kwa kumbukumbu zangu mara ya mwisho kuchezwa ilikuwa june mwaka 2009 south africa.Ambapo...
PFA player of the year
1. Gareth Bale
2. Michael Carrick
3. Luis Suarez
4. Eden Hazard
5. Robin Van Persie
PFA Young player of year award nominees
1. Eden Hazard
2. Gareth Bale
3...
Katika juhudi za mwisho mwisho kabisa za kuelekea kuchukua ndo La liga jana tena barca kama kawaida iliifunga zaragoza 3-0!!magoli hayo ambayo yalifungwa na Tello(2) na Thiago(1) .Mechi hiyo...