bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,444
nilishawai kutupa uzi kama huu hapa jamvini na bado narudia tena.... uzuri wa soka statistics ndio zinaeongea!!! tuliwatoa uganda kwenye similar competition tukaenda chan kwa 2 - 0 aggregate na sasa tumetolewa na hao uganda kwa 4-1 aggregate... hii inaonyesha wazi toka marcio marximo aondoke tumekua tunashuka chini!!!