CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Kiungo mtoro wa timu ya taifa na Simba Mwinyi Kazimoto amefuzi majaribio katika klabu moja ya daraja la pili jijini Doha nchini Qatar,na tayari ameshafanyiwa vipimo tangu jana na leo Simba wamepokea barua ya kumuhitaji mchezaji huyo wa kimataia wa Tanzania!!