CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Kwa wenyeji wa Arusha,nataka kujua kama kuna football academics za watoto under 14yrs.Mwanangu anapenda mpira na pia ana umbo zuri(umbo la kimagharibi)la mpira sasa nimeamua kumelekezea kwenye mpira ili pengine inaweza kua ndio ajira yake,umri wake ni miaka 10 na yupo darasa la nne,nataraji aanze december.
Kwa kifupi dogo ana umbo zuri sana la mpira na inaweza kua azina nzuri sana baadae kwa taifa ikizingatia kwamba tanzania imekua na tatizo sugu wa wachezaji wenye miili mikubwa na wenye nguvu.
Ninachotaka kujua ni bei gani(fees)kwa mwezi/mwaka?
Na utaratibu wa mazoezi na nidhamu kama inapewa kipa umbele,maana sintakua tayari kumpeleka mwanangu sehemu ambayo maadili ya kiubinadamu hayafuatwi.