Arsenal yetu itatisha tu

Arsenal yetu itatisha tu

Box 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
506
Reaction score
117
Man city,man united,chelsea zote zimebadili makocha ambao wanakuja na mbinu mpya ambazo zitachukua mda kuzoeleka kwa wachezaji,hii ni advantage kwa babu yetu wenger kuwashika,mwaka wa tisa huu duh lakin matarajio ni makubwa
 
Kama ndoto zako hazijatimia kwa miaka nane sasa wewe endelea kulala.
 
KKwa kikosi hiki.......NEVER!!!!mimi ni gooner.............
 
Kwanini Wenger hatumii fedha kununua wachezaji? Inasikitisha sana.
 
Wenger,kazi kulalamika tu wenzake wakisajili!
 
Back
Top Bottom