Tuwakumbuke wachezaji hawa...

bysange

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
4,456
1,563
Wanajamvi wote nianze kwa kuwatakia afya njema.
Wachezaji hawa walikuwa gunzo sana na huenda ndio waliokupelekea ushabikie timu unayoishabikia hadi leo,japo wengine huuenda wametangulia mbele ya haki (mungu awarehemu)nawengine wapo hai mungu awape wepesi katika maisha yao.Wachezaji hawa ni
1.Makumbi Juma
2.sande Manara
3.Idd Pazi
4.Athumani China
5.Joeli Bendera
ongezea wengine twende sawa na nini unakumbuka toka kwao?
 
Ismail aden rage aka mzee wa bastola
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom