Mbeya City yaomba msamaha kwa mashabiki wa Yanga

Mbeya City yaomba msamaha kwa mashabiki wa Yanga

shinji

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
263
Reaction score
186
Hatimaye timu ya mbeya city leo imemaliza tofauti zao na Yanga Taifa.
Mara baada ya mechi yao dhidi ya Simba, wachezaji wa Mbeya City waliwafuata mashabiki wa Yanga na kupiga magoti na kuweka mikono vifuani ishara ya kuomba msamaha, msamaha ambao umepokelewa kwa mikono miwili na mashabiki wa Yanga ambao waliwapigia makofi na kuashiria mwisho wa ugomvi.

Ikumbukwe kuwa Simba wametoka sare ya bao 2 na Mbeya City leo Taifa
 
Eeee daaa nimefrai sn na tumewasamehe karibu sn watoto wa nyumbani, mlinikera sn , tupo pa1,. Karibuni nyumbani mbeya city jiji tulivu
 
Hakuna, cku mkija kucheza na cc taifa lazima 2wapopoe mawe!

Mtusamehe bwana siku ile wenzenu tuliingia tangu saa sita , hata kula hatukula , na uwanjani viloba vilikuwa kibao , harafu tulikuwa na hamu na yanga , ndo maana hata man na liverpol walicheza saa tano mjue ,,, HATUWAPOPOI TENA .
 
Hakuna, cku mkija kucheza na cc taifa lazima 2wapopoe mawe!

Kwa kitendo chao cha kufungwa bao 2 na kusawazisha dhidi ya Paka Mwitu ni dhahiri kuwa walidhamiria kuomba msamaha kwa Yanga. Uungwana wao pia wakwenda kwa mashabiki kuomba radhi nimeupenda sana. Tumewasamehe kikamilifu, atakayewapiga ana lake jambo.
 
Hii timu inakuja kitofauti sana dhidi ya soka la kibongo lililoishiwa ubunifu!
 
mbeya city ni funzo kwetu mwanza ni wakati sasa wa kuachana na fitna za TOTO na PAMBA ili tuwe na timu 1 ya MAANA
 
Back
Top Bottom