Kijiweni: Borussia Dortmund

Kijiweni: Borussia Dortmund

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
Karibun wadau wa soka hasa wale wenye mapenzi pia na giants hawa wa ujerumani Borussia Dortmund,karibunu tujadili na kupeana habari zinazoihusu klabu hii.
 
Here we go,
Borussia Dortmund 6,Hamburg 2
 
Hawa jamaa ni nouma. Kinatoka kitu kinaingia kitu. waliondoka Kagawa, Sahin na juzijuzi Gotze; Sasa akina Aubameyang na Mkhitaryan wanatupia mbaya...
 
dortmund ni shule ya soka iasee
attacking yao ni hatari sitashangaa wakiwa na goli nyingi season hii mbele ya barce na madrid
aubameyang,lewandowisky, mkihitaryan,
sahin acha tu
anyways so far hakuna team yenye kocha mpya inayofanya vizur ulaya
tusubiri tuone
 
dortmund ni shule ya soka iasee
attacking yao ni hatari sitashangaa wakiwa na goli nyingi season hii mbele ya barce na madrid
aubameyang,lewandowisky, mkihitaryan,
sahin acha tu
anyways so far hakuna team yenye kocha mpya inayofanya vizur ulaya
tusubiri tuone

hakika,hawa jamaa watatawala ligi ya ujerumani na hata ile ya ulaya,wako kamili kila idara,Guardiola na style yake ya mchezo anayoileta Bayern itamfanya awe anachezea kipigo kila cku kutoka wa BvB
 
It was a vad European night for BvB,
Napoli 2,BvB 1
 
Sijawahi kumuona Klopp kafura kama jana, nusura amuangishie kibano kamisaa

pindi mambo yanapokuendea tofauti na matarajio lazima ufure,nahc BvB waliwa-underestimate Napoli
 
Napoli inatisha imekusanya waspain Reina,Albiol,Callejon sambamba na kocha mwenye mafanikio ktk michuano ya kimataifa Benitez,na ili group natabiri Napoli na Arsenal kupita,Dortmund wataenda uefa alhamisi wakijitahidi lakini maana Marseille nayo siyo ya kubeza.
 
Back
Top Bottom