Rotary Dar Marathon 2013: Nani atakuwepo?

Rotary Dar Marathon 2013: Nani atakuwepo?

Riwa

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2007
Posts
2,607
Reaction score
3,084
Riwa nitashiriki kuzikata 21.1km...mwaka jana zilinitoa jasho japo nilimaliza, am better this year!

Mwana JF gani mwingine atakuwepo?! KAOMBWE
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Riwa mie pia nataka niwepo lakini sijui kama nitakuwa ninamandalizi ya kutosha kwa ajili ya Marathon.Ngoja niangalie kama nitaweza.
 
Riwa nitashiriki kuzikata 21.1km...mwaka jana zilinitoa jasho japo nilimaliza, am better this year!

Mwana JF gani mwingine atakuwepo?! KAOMBWE

Mkuu, kuna Madogo kunako Jukwaa la Elimu wanaopiga kelele na kujisifu kuwa katika Chuo cha Nne kwa ubora Afrika. Ninashangaa kwa nini hawajitokezi hapa kuwa watashiriki hata kwa mita 100 za mwisho!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom