Kariakoo f.c[lindi]speacial thread

Kariakoo f.c[lindi]speacial thread

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,500
Reaction score
7,431
Hapa ndo uwanja wa wana Kariakoo F.C kutoka Lindi,mabingwa wa Kombe la Hedex Africa Mashariki mwaka 1999\2000
 
Mods hebu futa hii thread. Kila mtu akuleta uzi wa klabu ya kwao patakuwaje humu? Litimu limekufa siku nyingi we unaleta uzi wa nn humu? Si bora tuanzishe special thread ya Abajalo au Friends Rangers ambazo ziko ligi inayoeleweka
 
Jifunze kuelewa kanuni za JF
 
Mwenye kiti wa timu yenu ni nani? Makao makuu ya club? Uwanja Munao tumia? niviji maswali tu.
 
Na mimi ntaanzisha Thread ya timu ya Stand United ya shy itapanda ligi kuu msimu ujao....... Anyway hivi ni kwa nini hakuna coverage ya habari za ligi daraja la kwanza? Wakati leo ni match day 4
 
Mwenye kiti wa timu yenu ni nani? Makao makuu ya club? Uwanja Munao tumia? niviji maswali tu.

Wewe Kitoabu,uwanja wa Yanga unaitwaje?
Uwanja wa K/koo-Ilulu,makaomakuu Lindi
 
Last edited by a moderator:
Na mimi ntaanzisha Thread ya timu ya Stand United ya shy itapanda ligi kuu msimu ujao....... Anyway hivi ni kwa nini hakuna coverage ya habari za ligi daraja la kwanza? Wakati leo ni match day 4

Anzisha kuzipa coverage tutachangia
 
Mohamed Kanduru
Fred Ou
Abdallah Kanyoro
Denis Kumbutu

Wanaoponda uzi huu hawajawahi iona timu hii;umenikumbusha mbali sana
 
hawa jamaa ilikuwa ukienda Lindi hautoki, ilikuwa lazima ule bao! walijua sana kuonga waamuzi, hivi yule sammy kesi alitokea kariakoo ama?
 
Back
Top Bottom