Box 2
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 506
- 117
Ahlan wasalan ndugu zangu popote pale mlipo,nina imani wengi wenu mtakua ndoton/ktk dimbwi zito la usingiz ama mkizitendetea haki NOAH ZENU.
Leo jion sikuwepo jamvin lakin usiku huu nimeingia na kupata nilichotaka,BIG UP KWA REVOCATUS KASHANGA,BBA,MAKOYE MATALE,CRASHWISE,SHARK,KITOAB,ACCOUNT FULL,THE MAGNIFICIENT,NDETICHIA,NGANU,MENDIETA,KBM,MASUKE,TIQO,SANGOMWILE,NDOMYANA JUST TO MENTION A FEW.
Jukwaa letu lipo tofauti na mengne humu kwa sababu pitia hapa,TUNA dhihakiana,elimishana,taniana,burudishana,badilishana mawazo e.t.c.Ama hakika tuipiganie hii hali na kutoruhusu kabisa "MATUSI",kuchukua nafasi.Nimestushwa na kauli za wadau ambao wameanza kutumia lugha za matusi na wengne wakipania mechi yetu ya leo YANGA kuonyesha umwamba wa kumwaga matusi.Naomba kuchukua nafasi hii kuwaombea msamaha wale wote walotukana na kuwasihi walopanga kutukana leo wafikirie UPYA na kutuliza BOLI.
SINA MENGI ZAIDI YA KUSEMA MICHEZO NI AMANI,UPENDO,FURAHA NA "MATUSI NO"