Nmeshangaa kuona mechi Live ya Yanga na Mtibwa live hapa TBC 1,je imekuweje fungu limeongezwa au viongoz mlivuta Miliion 100 kimya kimya?mwenye data afunguke hapa
Yanga 2.Mtibwa O
Hii ni Private issue kati ya Yanga na Azam TV, wewe unataka data za nini?
Hii ndo mitoto ya M4c akili kwa masabuli,ndo maana nkasema mwenye data kamil aweke hapa wanaJF tuzione,,,,,,screw