Kumekuwapo na mvutano mkubwa sana kati ya TFF, Bodi ya Ligi kwa upande mwingine na Yanga na Simba kuhusu Dabi ambayo ingechezwa tarehe 8 Machi, 2025.
Ninaishauri TFF na Bodi ya Ligi kuwa kuanzia...
Nakuwaga tu curious na kujifunza vitu randomly. Hivi karibuni nimekuwa nikijiulaza nani anahusika na kuwavalisha marefa wa mpira wa miguu?
Nimefanya quick search lakini naona tu habari za brand...
Hii catchphrase ya I UNDERSTAND IT NOW ni ya mwamba mmoja wa kuitwa Chris Matthews a.k.a Lethal Shooter. Ebana mpaka sasa najilaumu kuchelewa kumfahamu mwamba mapema. Tunasema Steph Curry ana...
Mi nadhani ni wakati sasa Yanga tususie Ligi nzima ikiwa ni kweli tunaona kuna uonevu katika hii Ligi ambayo inaongozwa na TFF na Board ya Ligi. Toka amekuwa Rais huyu jamaa Yanga hatujawahi...
Karibu Wadau Wa Soka uweke utabiri wako Wa tukio la kustaajabisha litakalokuacha mdogo wazi (kupigwa bumbuwazi) kwenye Mchezo Wa JKT Tanzania vs Simba SC kati ya haya yafuatayo.
(1) Penati ya...
Inaelezwa kuwa kuna kiongozi wa Klabu ambaye anasimamia timu kubwa barani Afrika ataingia matatani hivi karibuni.
FIFA imetuma nyaraka kwa Shirikisho la Soka kuhusu tuhuma za upangaji mechi...
Kama kuna kitu cha kisanii kwenye soka basi ni suala la dakika za majeruhi au dakika za nyongeza ambapo muamuzi huzitoa kufidia dakika zilizopotea.
Ukichunguza kwa makini utagundua hilo suala...
Ndugu zangu, wakati mwingine tuache kulalamika kwa vitu ambavyo vipo wazi kabisa.
Mashabiki wa Yanga wanalalamikia TFF na Bodi ya Ligi kwa kuwapa Simba viporo vingi, wakilinganisha na viporo...
Rais wa TFF, Wallace Karia ni mwanachama wa Simba
Amekuwa dictator hapo TFF anatumika na timu ya Simba kuhujumu Yanga
Kwa maksudi kabisa akishirikiana na 5imba kukimbia mechi kwakuwa 5imba...
Hawa jamaa wamedhamiria kukuza utalii kweli kweli. Miaka michache ijayo huenda ikaongoza kuwa na wageni wengi kuliko nchi zenye raslimali nyingi za utalii.
Sector ya utalii Tanzania nimuhimu...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, tarehe 05.11.2023 iliyokuwa ikisubiriwa na Watanzania wengi imewadia. Siku ambayo wapenzi wa soka watashuhudia Derby ya Kariakoo, miongoni mwa Derby bora kati ya zile...
Zifuatazo ni sifa za wagombea ndani ya TFF.
1. Awe raia wa Tanzania.
2. Awe na kiwango cha elimu kisichopungua kidato cha nne (Cheti cha Elimu ya Sekondari).
3. Awe na uzoefu wa uendeshaji Mpira...
Kuna mvutano na vita kubwa kati ya Yanga na TFF, kwani Yanga ilisema haitacheza mchezo wa Derby , ambapo TFF anafanya Kila namna , na Kila hujuma Ili Derby ichezwe Kwa namna yoyote Ile.
Hivyo Kwa...
Mwamuzi wa kati Japhet Smart wa Katavi atachezesha mchezo wa kesho kati ya JKT Tanzania dhidi ya Simba SC pale Meja Jenerali Isamuyo.
Japhet Smart atasaidiwa na Glory Tesha kutoka Dar Es Salaam...
Formed: 1909
Nickname: Die Schwarzgelben (The Black-Yellows)
UEFA club competition honours (runners-up in brackets)
European Champion Clubs' Cup: 1997
UEFA Cup: (1993, 2002)
UEFA Cup...
Meneja wa Habari na Mawasiliano Ally Kamwe kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ✍🏿
"Kwa mlioyaona Leo Wanayanga na bado Timu yetu inaongoza Ligi .. Ni Ishara kuwa Tunapaswa kuwaheshimu na...
Poleni sana Mashabiki wenzangu Wa Simba SC!!
Ukitoa mafanikio ya kufika nusu fainali shirikisho tena mafanikio ambayo wenzetu (Yanga SC) walishavuka,
ukitoa mafanikio ya Yanga SC kushindwa kesi...
Kuna wale vidampa wa humu form four failures huwa tunawaambia hawana uelewa,akili na ufahamu wanakuwa wabishi badala ya kujikita tu na kusubiri mialiko ya soup pale Jangwani. Wapo humu watu...
Huu ulikuwa utoto. Mbinu za kupoteza muda inabidi mwalimu afundishe bila hivyo tutakuwa tunalalamika na kuonekana tu vilaza mbele ya watu wenye Ilimu katika hii Duniya.
Huu ni mfano wa match...