Borussia Dortmund FC Thread | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Borussia Dortmund FC Thread

Discussion in 'Sports' started by popiexo, Apr 19, 2012.

 1. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  1631079_w2.jpg
  Formed: 1909
  Nickname: Die Schwarzgelben (The Black-Yellows)
  UEFA club competition honours (runners-up in brackets)
  • European Champion Clubs' Cup: 1997
  • UEFA Cup: (1993, 2002)
  • UEFA Cup Winners' Cup: 1966
  • UEFA Super Cup: (1998)
  Domestic honours (most recent triumph in brackets)
  • League title: 7 (2011)
  • DFB-Pokal: 2 (1989)
   
 2. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  ni ya wapi na msimamo inasomeka vipi?
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ni ya ujeremani na inaongoza ligi ya kwao huko imezidi kukaa juu baada ya kuipiga bayern moja bila..
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  ...manina!
  Huu ndio udau wa soka, zikija za EPL mnajifanya wanazi halafu hata BVB huijui? Unanichefua...
   
 5. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hili chama linanikumbusha kipindi kile linawika ulaya, enzi za akina Mathias Summer na Lars Linken naona Historia inaanza kujirudia.
   
 6. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Borussia Dortmund clinched their second successive Bundesliga title with a 2-0 victory over Borussia Monchengladbach at Signal Iduna Park.

  dortmundtitleceleb20120421_275x155.jpg
   
 7. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Schmelzer grabs big win agaist Real Madrid dortmundmarcelschmelzerceleb20121024_640x360.jpg
   
 8. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,312
  Likes Received: 2,973
  Trophy Points: 280
  Ni timu nzuri pia uchezaji wake hautiliwi mashaka hasa ukizingatia ktk kundi lao wote ni mabigwa wa ligi za nchi zao.
   
 9. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  BvB, HAKUNAGA!
   
 10. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2013
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kuangalia BvB wakifunga magoli mawili ndani ya dk 3' za nyongeza kunanifanya nisijute kufall in love na the beautiful game, Soccer in noma.
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2013
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  sio kwamba ilikuwa ni zali tu au..
   
 12. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #12
  Apr 10, 2013
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ndio raha ya mpira, ni juhudi za kupigana hadi mwisho
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2013
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  yaani hawa the bees nilijua washatoka ila walichokifanya kina wafanya sasa madrista kichwa kiwa umemaana wanakutana tena..
   
 14. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #14
  Apr 10, 2013
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wanakutana tena, na Madrid huwa wana homa ya wajerumani
   
 15. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #15
  Apr 10, 2013
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  BvB ndio wanaweza kuwa mabingwa wa champions league mcmu huu maana coni timu ya kuwazuia wacchukue kombe labda Barcelona
   
 16. g

  gutierez JF-Expert Member

  #16
  Apr 11, 2013
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Ktk 4 zilizobakia hawa BVB ndio vibonde,na wasiombe wacheze na aidha Real Madrid au Barca watapigwa home and away,nafuu yao wakutane na Bayern Munich maana waswahili wanasema waarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba,ndio wanaweza kupona labda.
   
 17. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #17
  Apr 11, 2013
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kumbuka BvB katika makundi walikutana na Madrid ilkuwaje? unajua. Hapa vibonde ni Barca tu ndio wanaoweza kufungika kirahisi ni one man team, ilikuwa proved jana walipokutana na PSG
   
 18. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #18
  Apr 11, 2013
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  dat true hommie huyu ni muhanga wa barca hawezi kukubali hilo na hapa barca na madrid na bvb bayan ili kuzuia fainali isiwe ya nchi moja ni hilo tu..
   
 19. g

  gutierez JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2013
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Kumbuka 2000 ktk makundi Bayern Munich alimfunga Real Madrid 4-1 kule Munich na 4-2 kule Madrid kiasi Iker Casillas Fernandez kipindi hiki akiwa na miaka 18 alisakamwa kama anavyosakamwa leo David de Gea Quinton pale Man Utd kwa magoli ya kizembe,wakaja kukutana nusu fainali huku Real robo final imemtoa Man UTd,Bayern alikula 2-0 kule Bernebeu Stadium,marudiano Bayern akashinda 2-1 wakatoka Bayern kwa jumla ya 3-2 Nicolas Anelka mnamo dk 75 bao lake ndio liliwatoa Bayern Munich na Real Madrid kuingia Fainali kule Paris na kuwachapa Valencia CF na mashabiki wao wakiongozwa na mpiga ngoma wao aliefunga baa wakati huo Manolo El Del Bombo kwenda kuwasapoti CF Valencia wakala 3-0,so hawa BvB wasikumbuke makundi tu,wakumbuke pia ndg zao Bayern Munich walifanywa nini ktk hatua ya nusu fainali 2000 UCL
   
 20. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2013
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni kumbukumbu nzuri, sasa na tusubiri tuone.
   
Loading...