Wengine tuna jicho la kuangalia mambo kwa umakini mkubwa na tunapotoka hadharani kusema kitu fulani kina uwezekano mkubwa wa kutokea tunakuwa tumeshajiridhisha.
Mara kwa mara nimekuja humu...
Hii nchi yetu kila mahali ni mizaha tu mnakumbuka yalitoka mabilioni wakatuambia ule uwanja unaboreshwa
Ila juzi tulipofika tu pale Taifa mechi ya mwarabu tulikuta uwanja ni mmbovu na vyoo hakuna...
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa ametoa Ufafanuzi Taarifa ya CAF Kuufungia Uwanja wa Mkapa, Kuhusu Derby Asema Waulizeni TFF ambapo amesema ukaguzi ulipokuwa ukifanyika nyasi zilikuwa...
Ni maajabu ya karne!
Tangu mwaka 2023 tulielezwa kwamba ukarabati mkubwa utafanyika katika uwanja wa Mkapa, Tukaelezwa kwamba zimeshatengwa zaidi ya bilioni 30 kwa ajili ya kazi hiyo na uwanja...
Nimemsikiliza Ndg. Gerson Msigwa kwakweli nimesikitika sana kuona watumishi wa umma nyakati hizi badala kuwa watumishi wa umma wamegeuka kuwa watetezi wa viongozi wabovu. Sakata hili jinsi...
Hairuhusiwi popote pale Ndege ikiwa Angani Watu (Abiria) kuanza Kucheza Dansi huku wengine Wakiruka Sarakasi katika Viti vyao na wengine wakirandaranda na Vinywaji vyao (Vilevi) kana kwamba Wote...
Simba walisema yanga kakodi bodyguards kuwauzia wasifanye mazoezi....hivyo wakakimbia derby ....wakaja kuandika barua ya kugomea wakiwa wamefika bunju[emoji23][emoji23]
Je Sasa Baada ya CAF...
Inasemekana Shirikisho la Soka Afrika CAF limeufungia uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kutokana na ubovu wa eneo la kuchezea (pitch). Ripoti inaonyesha pitch mbovu na inazidi kuzorota. Wameitaka...
Karia
Kwanza nikupe pole BAADA ya makando kando ya UWANJA WA TAIFA sasa naona CAF wameona ULE UWANJA sio salama Tena kama mlivyosema sasa twende znz mkapate usalama zaidi
MH Karia uliwahi kusema...
Tukiendelea kuchekea huu ujinga wa kutafuna hela za Umma hata Shetani atatushangaa.
Haiwezekani Uwanja uliotengewa mabilioni ya hela kwa ukarabati na kusimamishwa kutumika kwa kipindi kirefu uwe...
Iwapo Simba itaingia fainali ya CAFCC, hakuna mwanasimba au mpenda soka yoyote nchini anayejitambua atakayefurahi kuona Simba inakosa fursa ya kutumia uwanja wa Mkapa, hasa ukizingatia pia mechi...
Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Son Heung-min amefungua kesi Polisi dhidi ya Mwanamke ambaye alidai ana ujauzito wa staa huyo wakati sio kweli na kwamba alifanya hivyo kwa lengo la kupata fedha...
Haya mambo ya kuingiza siasa mchezoni NGUMU sanasana
Hivi majuzi tu tuliona viongozi WA WIZARA ya MICHEZO wakinukuliwa final UTACHEZWA kwa mkapa na wakasisitixa wananchi mnunue.tkt.kwa wingi...
Nimeona taarifa si njema kwa wanasimba wenzangu
Kwa kweli mambo n magumu sana yaan kwa uwanja ule wa znz naona berkane akiondoka na kombe la shirikisho
N mapenzi yangu kujua je na kule znz mbuzi...
Matokeo ya mchezo wa jumamosi yashatoka, Simba Kuna uwezekano mkubwa wa kushinda hii game ya jumamosi.
Mambo yanaweza tu kubadilika endapo Simba hawatoongeza umakini hasa kuanzia dakika ya 70.
All...
Ni jambo la kusikitisha sana "unapewa ndege" kama wanavyoiweka, una nafasi karibia 200 za kupeleka mashabiki wenye vibe la kutosha ila unawakosa watu wa kubeba unaishia kuokotezaokoteza maafisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.