Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Shalooooom Wapendwaaa Za uzima baada ya tar 8 mechi kuhairishwa. Hakuna mtu alieongelea...Pesa zenu mlizokata tiketi kwente hii mechi Naomba kuwajulisha msikimbilie kukata tkt mechi haipo 2...
2 Reactions
5 Replies
438 Views
Baadhi ya majina ya wasukuma ndinga bongo yaliyokuwa yaliokuwa yakinipa Raha kuyasikia yakitamkwa *MNENGE SURUJA ,Afc Arusha *QUIRESHI UFUNGUO, Simba sc *NGADE CHABANGA DIAMWALE , Yanga sc...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Ndio, hata kama hamtaki lazima tukubali kuwa kuna baadhi ya wachezaji ni wazuri sana kwenye aspect ya dribbling lakini sehemu nyingine si wazuri sana, ndio mana hata kwasasa Mzee wa uwalaza Mutale...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Tufanye wewe ndio kocha, hebu tengeneza kiungo chako cha watu watatu kutokea katika kundi hili la viungo pichani. Mimi kwenye watu watatu, wa kwanza kabisa ni Sergio Busquets iwe jua au mvua...
2 Reactions
18 Replies
728 Views
Aisee hizi timu zinatisha maana Kwa boli linalopigwa na usajili wao mbingu na ardhi aisee mungu anipe nini mimi maana msimu huu Kila mwisho wa wiki mama watoto namuambia apike pilau Ili...
3 Reactions
14 Replies
929 Views
Hili jambo linahitaji tafakuri ya kutosha. Kwanza, nianze kwa kusema kwa mtazamo wangu faida kubwa ya Simba kupata ndege kubwa ya serikali kwenda Morocco haipo kwenye kupeleka mashabiki au...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Mkutadha: Kikosi kilivyotua airport tayari kuanza safari ya kuelekea Morocco mchezo wa fainali ya CAFCC Kikosi cha Simba SC kimeanza safari yake kuelekea Morocco kwa ajili ya mchezo wa fainali...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna propaganda zinasambaa kuhusu Elie Mpanzu kuwa amesajiliwa na timu ya Young Africans ya Tanzania kwa msimu wa 2025/2026 akitokea klabu ya AS Vita ya DRC. Taarifa hizo ni za uongo, AS Vita...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Hizi hapa takwimu za Berkane Vs Simba kuelekea mchezo wa Fainal ya kwanza hapo Jumapili. Kubwa la kuzingatia ni kuwa Berkane kafungwa mchezo mmoja tu na kuruhusu magoli mawili tu msimu huu wa...
2 Reactions
8 Replies
809 Views
Jana niliwafatilia RS Berkane katika mechi yao ya Ligi Kuu ( Botola Pro ) vs Maghreb Fez , nilipata angalau 50% ya kufanya tactical analysis ✍🏻RS Berkane wapo well oiled machine ✍🏻Utimamu wa...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Tangu ile derby ambayo man of the match alikuwa Kayoko, Kayoko hajachezesha mechi yoyote Simba waliwaambia kuwa huyu dogo hafai kuchezesha hata marede akaimbe singeli, ushahidi wa audio na video...
9 Reactions
39 Replies
2K Views
Shalom Mzee Nguto Popote ulipo Sina mengi niimeona mitandao mengi ikikuongelea kuhusu derby Ushauri tu mzeee umeshakaa na wenzio ukataja tar ya mechi Kaa utulie hivyohivyooo kama vile usikii...
2 Reactions
1 Replies
260 Views
Simba Sports Club imekuwa na mafanikio makubwa katika msimu wa 2024/2025, ikijidhihirisha kama moja ya vilabu bora zaidi barani Afrika na Tanzania. 🏆 Mafanikio ya Kimataifa – CAF Confederation...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC, Salim Abdallah Muhene maarufu 'Try Again' ameeleza yanayoendelea kuhusu Elie Mpanzu kuwa yupo Klabuni humo kwa mkopo. "Elie Mpanzu ni mchezaji halali wa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Muda si mrefu Azam nao wamejiandaa kutopeleka timu yao kuonyesha mpira 15 jun Mpaka walipwe hasara walizotumia tar 8 Sasa bodi ya ligi a Karia wenu Nendeni mkajipange na hawa wapangieni ratiba...
5 Reactions
3 Replies
412 Views
Naangalia hapa mechi ya Azam na Dodoma inaonekana Azam anajua "kucheza"na kupata ushindi mnono ila anahofia endapo atacheza kama Simba na Yanga ataharibu biashara yake ambapo watu hawataona sababu...
-1 Reactions
19 Replies
979 Views
Moja ya mambo yanayorudisha michezo nyuma ni academy za michezo mbalimbali kukabiliwa na ukata wa fedha za kujiendesha Lengo kuhakikisha Tanzania inakuwa dominant kwenye michezo karibia yote
1 Reactions
9 Replies
549 Views
Rodrygo 'doesn't want to play for Real Madrid again over an issue involving Jude Bellingham'... in split that could spark Premier League transfer battle Real Madrid star Rodrygo has decided he...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
"Hata mkitusifia hatuchezi" Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba ambaye pia ni shabiki wa Yanga SC "Kuhusu ile ya Simba hata mkitusifia hatuchezi hadi mambo yetu yasikilizwe.Unajua hawa jamaaa...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti, ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Brazil. Atachukua rasmi majukumu yake kuanzia Mei 26.
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom