Awa jamaa walitabiri simba ita droo raund ya kwanza na itafungwa raund ya pilli sasa naona kazi imeanza Aveva acha kiburi kaeni na hawa watu mtoe tofauti zenu jamani
Usivae kiatu kimoja cha kushoto
Ukishuka tanguliza mguu wa kushoto
Nimewahi kufanya utafiti wa uchawi (MKUSANYA TAKWIMU) kwenye soka la Bongo na hata kwetu yapo HAYA
Habar wana jf mm ninawazo la kuanzisha biashara yangu ambayo ita husika hasa na kuanzisha timu yangu ya mpira wa miguu na kuimiliki lakini timu yenyewe ni zile za michangani wakuu
jee kama...
By JOHN MUCHIRI
Mombasa-based artistes claim that they were mistreated by promoters at the Jamhuri Day Diamond concert last Friday.
They say the promoter ejected all the Coast-based musicians...
1. NMB inasitisha mkataba wake wa "vijisenti kadhaa" katika timu ya Azam FC. Wanainunua Ndanda FC, wanaibadili na kuwa NMB FC na kuwekeza mabilion.. Hii inawatangaza vyema, hadi kuwa the leading...
Azam vs El Merriekh
Azam, wawakilishi wa Tanzania Bara kwenye ligi ya klabu Bingwa Afrika, wamepangwa kukutana na klabu ya El Merriekh ya Sudan kwenye raundi ya awali ya michuano hiyo.
Chanzo...
Thierry Henry
Mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa Thierry Daniel Henry ametangaza kustaafu kucheza soka rasmi.
Nyota huyu alietwaa kombe la dunia mwaka 1998...
Namuheshimu kama moja ya wachambuzi mahiri wa soka kibongobongo na mwandishi mahiri wa makala lakini hii tabia yake aya kusifia kila kitu cha uzunguni inakera sana..yaan kwa huyu jamaa kila kitu...
Aapa hatoisahau simba na yanga,....
Asema soka la bongo alitaendelea watu wanataka pepo bila kuonja mauti umeona wapi hiyo
aisee huyu jamaa kumbe bado alikuwa anahisi anqtupeleka peponi kwa...
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Ndugu Norman Sigala pamoja na Meya wa jiji la Mbeya Ndugu Athanas Kapunga wakipokea kadi ya ushabiki ya Mbeya City Football Club kutoka kwa Kaimu Mtendaji wa Benki ya...
Cristiano Ronaldo overtakes Lionel Messi as the best footballer in the world After twice finishing runner-up, Ronaldo has won the arm-wrestle between the two best players on the planet to...
Nimefuatilia kwa makini sana mgao wa tuzo za Channel O huko bondeni na kung'amua kuwa wakenya hawakuambulia kitu. Yaani wametoka kapa au wameishia kuwa wasindikizaji.
My take: Hii imekuwa ahueni...
Tanzanian Bongo star Diamond Platnumz was in Mombasa over the weekend for a Jamhuri concert.
He is easily East Africa's biggest music star, and crowds he draws says it all. On his way back to TZ...
Ureno wana Jose Mourinho, Germany wana Jurgen Klopp but Tanzania tuna Jamhuri Kihwelu a.k.a Alberto Julio.
Julio ni kocha ambaye ambaye amajijengea jina kutokana na kauli zake za ndani au nje ya...
kwa muda sasa timu zetu zimekuwa zikiteua kamati mbalimbali ilimkuongeza ufanisi kwny timu lkn mi binafsi sioni ufanisi wowote zaidi ya kuzidisha vurugu na kurudisha nyuma maendeleo ya timu zetu...
Kama kocha sitarajiiimajibu tunafungwa ama atutoki kabla yamechi lakini
Hayo ndio majibuya coach wa makipa wa Yanga Juma Pondamali alipoulizwa unaonaje
Mpira wa Leo
Leo mgumu kutoka ni ngumu...